YOUNG KILLER Exclusive Interview  cover image

Exclusive Interview Lyrics

Young Killer Msodoki "Exclusive Interview" released on June 14 2020 is a Bongo flava ra...

Exclusive Interview Lyrics by YOUNG KILLER


Eeh bwana
Mnyoosha unyooshaa, mwosha uoshwa
Nimeshasema mwisho nimechoka
Kua sio kila mshamba ni ngosha
Wengine monster alafu hatuna shobo

Fedha nyingi gari ndogo
Tunadrive tu afu hatushushi vioo
Maana walimwengu hamnaga dogo
Kupigana vibomu kujazana home
Kupiga mastory ya udaku

Eti Jack ulipiga na ndom?
Why mmeachana unakonda tu mkaka wa watu
Heeh! Sasa demu gani unammega?
Mzigo wa wapi unabeba?
Mtoto wa Mwanza au nzega
Kwetu si sehemu yeyote nu shega

Hakuna kulemba mi staki kuchotana nyuzi
Kuni confuse
Ukibeti kwa hapa umeliwa, ilimradi makuzi
Ukiona kuna mjanja kafa 
Jua kuna mshamba kazaliwa

Siwafichi people mlipo nipo
Ila mi nilipo mwiko sio simple
Kuvamia kambi ya jeshi bila pistol
Usiende kanisani umelewa kama disco (Yeah)

Hahaha, now you already know
Sasa tunaona umekuwa  tatizo kabisa
Sijui ni  nani atasolve
Yeah marapper wabovu laini hawana ata kovu

Sabuni hawakaukwi makovu, wachovu
Ni wezi wa pembe za ndovu bora hata Whozu
Alafu wengi wamejazana mob..
Nikisema wanasema nasema kwa nguvu
Wakiniona wanaogopa wanatubu

Msodoki kiboko ya madada zao
Na mademu zao mi wote na mudu
Na ninapo fanya nikweli nafanya
Wanashindwa kuyafanya naamua kufanya tena
Yaani nakusanya mafuta manyanya
Ma hasi na chanya nameza ndo nawatema

Sio punchline sio flow
Sio lifestyle sio show
Sio baby sio doh
Niko faster sio slow
Uwe mdogo uwe bro

Yeah nikishika mic nakalisha tembo
Baby kali kama Naomi Campbell
Amuezi kuweza kuniua kwa kunitupa kwenye vishimo 
Vya Omary nyembo

Mwanza ndo ilipozaliwa nyembo
Ukigusa unachojitakia pengo
Ujio wangu zaidi ya popo bawa 
Umelala ukaachia ukasahau angle

Msodoki is a son ndo habari ya town
Natuma hadi njiwa zifike salamu
Kutesa kwa zamu maisha matamu
Usingoje kipofu akupe salamu

We kwepa majam, mavitu haram
Tusingeyasema hawangefahamu
Nangoja kwa hamu waone utamu
Najua hawawezi watashusha kalamu chini

Mbona views wako hawafiki million
Ngoma zako hazisikiki redioni
Ukifa ni kweli unacho acha ni legacy
Mbona dhamani yako wenfi hawaoni

Upendo wa kweli unatoka moyoni
Ukimuua nyani haumtazami machoni
Kwa hiyo wamenawa wanataka kula (Heeh)
Kuja kushtuka ndotoni

Ni mambo ya cycle, nyota ndogo ni bebe 
Vimeundwa ukiona vinawaka
Sucker for pain yaani maumivu zaidi kaka
Kuona ambaya hajauona mwaka

Una tatizo na mtu my hommie? Hapana
Au kuna upande wowote uko? Hapana
Au show zako bei ni juu? Hapana
Itakuwa ni... nahisi nahisi

Au labda wanataka niombe nikonde
Nishindwe ku cheers na wana ma bottle
Nishindwe kugonga vikombe
Kama ni ngoma natoaga kali 
Kweli sasa kipi kinafanya wasigonge?

Ila waambie wathamini sanaa ya wasanii
Wasikufe kwa dawa na pombe
AMEN!

Watch Video

About Exclusive Interview

Album : Exclusive Interview (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 14 , 2020

More YOUNG KILLER Lyrics

YOUNG KILLER
YOUNG KILLER
YOUNG KILLER

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl