Poverty (Swahili Version) Lyrics
Poverty (Swahili Version) Lyrics by YEMI ALADE
Sitaki umasikini maishani
Hapana ooh(Tararara)
Sitaki umasikini maishani
Hapana ooh(Tararara)
Sitaki umasikini maishani(Tara)
Umasikini maishani(Tara)
Umasikini maishani(Tara)
Hapana oooh
Nasema hapana, hapana aah
Nasema hapana, hapana aah
Nasema sitaki, mi sitaki
Eii hapana
Dhamani yangu ni saa
Nitatumia vyema ooh
Baba Mungu kanibariki
Nitatumia vyema ooh
Hesabu baraka ndugu yangu
Oooh dada yangu
Zitaje moja kwa moja ooh
Umasikini ni ugonjwa
Na sitaki kungojeka
Yahweh yuko na sisi
Shida hutuhepa sisi
Weiyoyo, weiyoyo
Baraka zazidi kunifuata
Sitaki umasikini maishani
Hapana ooh(Tararara)
Sitaki umasikini maishani
Hapana ooh(Tararara)
Sitaki umasikini maishani(Tara)
Umasikini maishani(Tara)
Umasikini maishani(Tara)
Hapana oooh
Nasema hapana, hapana aah
Nasema hapana, hapana aah
Nasema sitaki, mi sitaki
Eii hapana
Umasikini ni ugonjwa
Na sitaki kungojeka
Yahweh yuko na sisi
Shida hutuhepa sisi
Weiyoyo, weiyoyo
Baraka tele hunifuata
Cheki nikishine
Ju prosperity follow me
Cheki nikishine
Excellence follow me
Everywhere I go
Na sasa sasa currency mpya
Sitaki umasikini maishani
Hapana ooh(Tararara)
Sitaki umasikini maishani
Hapana ooh(Tararara)
Sitaki umasikini maishani(Tara)
Umasikini maishani(Tara)
Umasikini maishani(Tara)
Hapana oooh
Nasema hapana, hapana aah
Nasema hapana, hapana aah
Nasema sitaki, mi sitaki
Eii hapana
Watch Video
About Poverty (Swahili Version)
More YEMI ALADE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl