Kidogo Lyrics
Kidogo Lyrics by YAYAH
Michezo ya kitanga, kikamba ah
Kitu usichokiweza vanga vanga charaza
Baby unabonyeza eh eh eh
Ulivyo kibonge mpaka chini unainama
Kimbau mbau wanakuona
Ulivyo mwepesi unachutama
Chutama chutama
The way yYou're sexy my baby la popopo
Shake it bobo bo
Kinondoni na Kariakor
Bobo make it do do do
Unavyo benddown turnup benddown
Hakika wanimaliza wewe
Benddown turnup benddown
Baby wanimaliza wewe
Kidogo! Oh mama nyonga kabisa
Kidogo! Mabanda tisa
Kidogo! Fika mpaka Mwanza kwanikosha
Kidogo! Kidogo kidogo kidogo
Nairobi mpaka Mombasa
Kidogo! Mabanda tisa
Kidogo! Mama nishavunja kitasa
Kidogo! Kidogo kidogo kidogo
Shake your booty
Oh baby baby move your booty
Shake your booty
Oh baby baby move your booty
Yaani kama Dia, yaani kama Dia, Diana
Unavyolisakata uno, uno oh dada
Masnitch tupa kule, eeh
Kwa bed panda pale, oyaah
Mechi ni ile ile...
The way yYou're sexy my baby la popopo
Shake it bobo bo
Kinondoni na Kariakor
Bobo make it do do do
Unavyo benddown turnup benddown
Hakika wanimaliza wewe
Benddown turnup benddown
Baby wanimaliza wewe
Kidogo! Oh mama nyonga kabisa
Kidogo! Mabanda tisa
Kidogo! Fika mpaka Mwanza kwanikosha
Kidogo! Kidogo kidogo kidogo
Nairobi mpaka Mombasa
Kidogo! Mabanda tisa
Kidogo! Mama nishavunja kitasa
Kidogo! Kidogo kidogo kidogo
Shake your booty
Oh baby baby move your booty
Shake your booty
Oh baby baby move your booty
Unavyo benddown turnup benddown
Hakika wanimaliza wewe
Benddown turnup benddown
Baby wanimaliza wewe
Watch Video
About Kidogo
More YAYAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl