Sana Sana Lyrics
Sana Sana Lyrics by WANGECI KENYA
Nimechoka...
Sana sana me ...sanasana me huwanga
Yule dem ...yule dem...
Nilipanda juu bila shaka
Si walisema nikihama nitablunder
I can do it on my own am a murder
Everything that I've been building from the startup
Eeish, but I brush it off na mswaki
Mi nasaka hizo doh za mlami
Ndo niwachane na stori za rap
Nijenge nyumba kwa bahari nikipush mahammers
Still pull up in the scene ka kafiri
The love put me up here si majini
So am just trynna make this work mara mbili
Maybe in this next try I'mma make a killing
But anyway, its God unchanged
New flow that cup's gonna leave a stain
And imma put to everybody that ain't the same
And sometimes I'mma change
Hope you hear me saying that
Sana sana sana mi huwanga
Dem wa masplit na maganja
Sana sana sana mi hupenda
Kucheza hiphop ama ragga
Sana sana sana mi huwanga
Chini ya maji hutanipata
Sana sana keep it on a regular(yup)
Me, I keep it on the regular
Sana sana mi siko ukinisaka mchana
Usiku sacco jaba njugu kuchangamkanga
Ndio msupa akijipa nachapishanga
Anabaki akiwika "Scar usikae sana"
Maisha East ni noma huwezi survive hama
Lakini atleast mi naona ya leo si ka ya jana
Ju tuna risk wakora ka mabeast kwa corner
Wanakufrisk ni kama wanakudai bana
Kila design imeweza na washatii
We mwenyewe huwezi cheza unataka team
Mi ndio nilitumaga redsan kwa Sapee
Ka unanitafuta we tembeza mtaa za East
So let it be known I came with the family
Rende ni wrong we are nothing to play with
Ndani ya zone mashash malawi
Cz am bad to the bone
You can't compare me, yeah
Sana sana sana mi huwanga
Nigga wa masplit na maganja
Sana sana sana mi hupenda
Dem wa mahips na mahaga
Sana sana sana mi huwanga
Jiji na bado hutanipata
Sana sana on the regular
Me, I keep it on the regular
Sana sana sana mi ni yule dem
I keep it low, sipendagi fame
But me napenda cash na ma dollar
Na hawa machali player player, Maradona huh
Na sana sana sana mi ni yule guy
Mwenye unadai toka East, mi sikudanganyi
Niko na grudge na mabeast siwezi kujihide
Juu ya kuvuta gwai kwenye streets, siwezi ku-deny
Basi twende dutch 50-50
Sibongi story za ma bill kama Blinky
Yaani mi namada eight tukispit eight
Ngoma itashika fans watakula bait
Washakubali ndio maana wamejitoa race
Si ni wenyeji hawa mafala ni ma tourist
Mzee mzima sikimbizwi
Lazima nijitaje ndo verse iishe fiti Scar!
Sana sana sana mi huwanga
Dem wa masplit na maganja
Sana sana sana mi hupenda
Dem wa mahips na mahaga
Sana sana sana mi huwanga
Chini ya maji hutanipata
Sana sana keep it on a regular(yup)
Me, I keep it on the regular
Watch Video
About Sana Sana
More WANGECI KENYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl