WAKADINALI The Rong Cypher  cover image

The Rong Cypher Lyrics

The Rong Cypher Lyrics by WAKADINALI


Uh, ka hainibambi, hainibambi
Scene tukiipiga, tunaiwacha maridadi
Yo, yo, yo, wanatuita mabani
Kwani tumeshikwa tukaachiliwa mara ngapi? 
(Ay, ay, ay)

Rada ni chafu na sisafishi
Hii budget haitoshi, ukikuja kwangu, naficha dishi
Yeah, yeah, yeah, rende ni chafu, wachachisha nini?
Mi ni ratchet, mtu wangu, na sababu ni sitaki rafiki
Underground, still superstar, how?
Nafanya mpaka ma-rapper wanashtuka style zao
Niko full mzuka, naweza fungua duka side zao
Vile mi husuka, mi ndio sultan, you can find out, uh

Hii ni maji moto, sufuria ya pili
Si tulipewa kikombe, kitu nyi mlipewa ni pena mbili
Yo, today na-seem sensi, bila sim-simmer
Tuko East na tunashikisha ati kushinda Meru mzima

La, la, la, la, la, la, la
Rong Rende
Yo, yo, yo, yo, yo, yo, yo
(BigBeatsAfriq)

There′s a jungle out there na mi ndio monkey king
Top ah di top kwa kila list, cheki marking scheme
Nawacheka juu macho zangu ziucheki micro things
Sijawahi ekanga tat, naogopa ku-run out of skin
Mi hu-work for extra cheese ndio nipatie pedi pie
Mistari zile fresh na Rong Rende, mi si yule mbaya
Studio kit is very fine, wacha ni-verify
Chang'aa kwa jerrycan nikitangazia Behringer

Very fast, nilikwara mafala kuni-derail
Mi vacation CBD, nyi endeni Ole Sereni
Yaani ile gwas, yaani mithili ya electric train
I took a step yet again on enemy terrain

Mi hubeba stock ya mwezi yote
Huwezi nipata na plug, kando shokde
Vela ilidunda, ah, ikabaki nirokote
Juu sisi ukiwakisha kama Catholic Church candles zote
Sisi tuko on, tukuwe high, tuende heaven kama monk
Hawanoni na wako lunch 24/7 kama thong
Nina lung effect, leo ninataka blunt, hapana bong
Tunazidu both kwa kolo kwa kiko, kill mpaka local

Unless you′re an asshole
Huku zetu nikuhesabu maweng'
Ambia Arsenal, tuliachia Abu mayengs
Babu wa Swaleh, I'd rather die only in exile, niende away

[Scar Mkadinali]
Rong Rende, man, unajua (Yeah, yeah)
It′s the Rong (Uh)
Rong always, know what I′m saying?
Uh, tuko mavitu, poleni
Uliza maswali, tuna majibu already
Na kila mahali ni kuharibu, zoeni
Bonga ukiwa mbali, ukiwa karibu komeni
Na-give thanks kila siku, ombeni
Ni fitness juu ya instru, zoezi
Na kwa ma-hater, bado beef-u ndio ngeli
Huwanga ninatesa, ka una issue, bongeni

Ain't nobody that can do shit like me
Best in the game and the shoes fit nicely
You dissed my name, I took it lightly
Mi si kama nyinyi, sinanga chuki na life, G
Nataka shamba huko Nanyuki na wife
Lakini bado naandamwa na ma-groupie, hawaishi
Nina furaha, mi nadu shit na-like
Wewe bado unang′ang'ana kunitusi kwa IG

Wako, Ketepa wameshindilia mafumbo
Buda, peleka hiyo injili yako huko
Msupa wako ananipigia pigia
Nikiishika, nitaipiga, ataisikilia kwa tumbo
Naeza pata nikose my nigga, who knows?
Nai mpaka la Coste, nawapa full dose
Uh, whatever happen, let it happen
Mimi ndio mtoto alipewanga wembe akai-sharpen

Ay, I really think y′all misplaced
I work hard, I don't sleep, I got no weekends
Uh, it′s fucked up, I see no one cares
So sad, man, I even drink more these days
Bro, we was fine until the money came
It's always a wrong time, fam, nothing changed
Na kwa matothi I've been warning them
Usidhani hii maombi yetu itakuwa all in vain

Uh, na ka una ngori, enda studio na uni-diss, nani
Uli-marry game, ndio maana imeshinda iki-miscarry
Such a shame, kuna mahaga wana-kiss aki
Siwezi pigia binadamu magoti, mi sio Kriss Darlin
Juu kila siku niko hustle, nikisaka sipati
I′m just a person, hata hii mziki naweza achia katikati
Cheki Mpasho, siku hizi ni kiki wanatafuta, si ganji
Wengine ni passion, wengi ni fashion, mimi kwangu ni kazi

Uh, nikikam, ninakam fiti
Keg kwa drum na jaba ya 150
Niko mangwai, jo, na madem wa rival
Mikono kwa Bible nikiwakumbusha hawanitishi
Deep CBD but you can′t find we
Uh, si hudishi ki-G, hapa hunawi
Uh, maze, mi si-give in juu mi hukawia
Buda, boss, hii si bidii, hii ni uchawi

[Domani Munga]
Mix ya mahindi maharagwe, si huwekanga dhania ndani
Hakuna beef, Indian Maharaj, unaweza dhania Gandhi
Mna gwaya Rong Rende imekwisha, ati kita kambi
Hakika, nasikia paranoia ndio utamu ya bhangi
Hii ni kwa mboka haifai, Rong Rende ndio umesahau, usi-deny
Si ndio mambuzi, GOATs, nawacheki wanagwaya waki-hide
Hii upuzi nime-retire, uzi nime-hire, light up kush tumedi high
Mi ni makutesa lolo, gitamuri tumeamua, yo
Without any choice alijipata kwa geri mtaani bila kujua, bro
Pitisha hio ngwai pahali tunaenda tuanze kuzama
Arif ni mtoto wa sheriff, anatafutwa na askari, aligeuka Iscariot
Yo, hata malaya akilala analipwa
Nasikia ka imetoka shamba, lele ikilala inalika

Basi sikiza, mjango, uki-joke utakulwa
Mad Munga anaishi kwa jungle George atanyuria
Kibronj alienda sumandawo kwa payroll 
Juu mkosi kwa kikosi na ni kocha
Morio ni AK yao, ye hu-carry mpini na haitosi
We ukija, kam pia na Trisha, we nakushow, mlete na ni dos
Hot shit kutoka East, ni hii rende, Ronga, na ni boss

Watch Video

About The Rong Cypher

Album : The Rong Cypher (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 22 , 2021

More WAKADINALI Lyrics

WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl