WAKADINALI Eye Contact cover image

Eye Contact Lyrics

Eye Contact Lyrics by WAKADINALI

Yoh yo yoh man a driller
Shout out to drillers 
Nairobi, Nairobi, Nairobi to the world
Driller!

Keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
Kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
Kill na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
Team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Si ndo wale watoto wakorofi
The loudest kwa ploti
Kijana wa landloardi 
Hauskiii ndo anaanulianga wapangaji Sony

Niko na 3 day notice
Ati mi ndo huwa nimejaza motive
Caretaker pigwa kofi 
Nikuone kwangu bila kubisha hodi

Driller mpaka kwa ngozi
Looters kushinda wajozi
Ringa tu kuingia roadi
Hatulali aluta ka sogi
Utatokwa machozi 
Tukiishia upate hauna kitu kwa pori

Sho Madjozi sina doh
Akipitia home aachane na John (Achana na yeye)
Gava inataka ati kunicross 
Ju ati Yesu hajaisupport ndom

Neiba hadi ati anareport
Hajui Kenya ni a corruption zone
Wiseman kama Solomon
Mambo ya moyo jo si hatuforce
Rightman nimeiacha home 
Ju ni mzito ebu nipige phone

Keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
Kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
Kill na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
Team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Mshow una bilaha ni kuhire silaha
Ndo stakabadhi na require
Steps zangu za ki giant
Watu nilihelp ndo wanaleta difiance

Money maker bila hata advisors
Nashangaa wanabonga nini backbiters
We ni hater ndo maana huko required
Wamama wamepump ass na ma diapers

Ati wako wapi? Where?
Wanabonga nini? Who?
Ati wako?... na kininini.. what?

I play blind nawakisha fiti bila njiso
Fanya vilivyo life pia ni seasaw
Huh! Mrembo napenda ni kifo
Kifo kifo 

Wuzu mi ni nani? Mkora
Tuko gang na mwanamke nahurumia mtu wake
Kwa hivyo kina nani mali zao si huwapora
Bet hizi streets lazma mi nichangamke

Keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
Kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
Kill na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
Team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Yoh in the city I step like that
Mountain mover inna flesh and blood
Ah mandem we blessed and bad
Waulize niwakanje ni pesa ngapi

Don't say non don't fck with popos
Boomplay money we invest in gang
Ambia hao mafan mi sipendi mamboto
Unaeza kula phone na siwezi burn

Ala! Ukiniona unastammer
Ulidhani Scar kumbe ni scammer
Bado umejam na ngori ni ya jana
Usikuje ka hujajipanga

Pigwa ngeta ganji uwapone
Ndio hako ka hater wapi kwa comments
Siku hizi si ni rahisi wabonge
But tukimeet we ni maiti I promise

We don't fck with the pagans mmh mmmh
Ni heri we say non
Whenever they pay us, me and my peers
We sharing anjera

Kwa show leta Hennessy vela
Na big booty girl inna dera
Word-word to my parents
Mandela they are jealous

Keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
Kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
Kill na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
Team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Keep eye contact na ukiblink makosa unaeza tokwa ah
Kick inagonga na ukifeel unaroga hapa unaoshwa ah
Kill na copper kuna snitch aliokotwa ju ya kuropokwa ah
Team kuomoka tunapiga biz ya ukora bora mboka

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke
Kwa bedsheet na achangamke
Surebet hizi street must mi nichangamke

Watch Video

About Eye Contact

Album : Wada (The Healing of a Nation) (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Zoza Nation/Rong Rende
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 28 , 2021

More WAKADINALI Lyrics

WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl