
Koki Lyrics
...
Koki Lyrics by VANILLAH
Oyaaah
Eeeh onaah
Mshamba lutoka mwanza nimefika na huku
Spana ah
Eeeh onaah
Oyaah wee oyaah
Mbeba lawama chizi wa mile wa milembe
Aaahh aaahh aaaaaahhh
Eeehh eeehh eeeeeehhh
Aaahh aaahh aaaaaahhh
Eeehh eeehh eeeeeehhh
Nitajiri war oho roho safi
Nikipenda napenda kweli nimekoma
Mi sitaki lutupanga kama mishiraki
Ni niliumbwa nipendwe eeh
Maana sina nacho fanana nacho
Ukifananisha nao utanikosea
Basi babe nipende eeh
Ule uzuri niloonz kwa macho
(…)
Chunga usiwagawie hata ndugu
Kidudu utaniumiza
Aaahh aaahh aaaaaahhh
Eeehh eeehh eeeeeehhh
Aaahh aaahh aaaaaahhh
Eeehh eeehh eeeeeehhh
Wanasema neema haikosi vijicho
Wanasema ubaya haukosi malipo
Wanasema kuishi na watu sio simpo
Nahichi ndicho nakiona kwa hawa pipo
Wanakuita wewe age go (gooo)
Ili nikuache ugo (ugooo)
Namimi sina ulafi wa roho
Kumtamani mwingine hiyo kwangu no
Ningeshafumuka ningebaki mifupa
Kama upendo wako usingenifunika
Ningesha chafukwa usoni matuta
Kwa kununa nuna stress ninge chakaa
Usije uka panike nikakupa penzi ukali blue tiki yeeeh
Upendo waga hauvishi nisamehe hata nikikuchiti beibee
Aaahh aaahh aaaaaahhh
Eeehh eeehh eeeeeehhh
Aaahh aaahh aaaaaahhh
Eeehh eeehh eeeeeehhh
Ooohh aah wa milembe chizi
Mbeba lawamaa
Konde music worldwide; worldwide
Kutoka ufalmeni niku na machine gun
Wanamuitaga imani
Tit i t-touch tozii
Parazo o.right composer
Manuva oyaah
Wendo wangu nilokuhusudu
Acha kwako waniite tu bubu
Chunga usiwagawie hata ndugu
Kududu utaniumiza
Usije uka panike nikakupa penzi ukali blue tiki yeeeh
Upendo waga hauvishi nisamehe hata nikikuchiti beibee
Watch Video
About Koki
More VANILLAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl