Sweet Manka Lyrics
Sweet Manka Lyrics by UMOJA SOUNDS
Njoo uchill nami
Wangu Sweet Manka
Come and swing my way
I miss you Manka
Njoo uchill nami
Wangu Sweet Manka
Come and swing my way
I miss you Manka
Yeah! Kitandani silali ka sijakuseen
Bila magari yaani bado ulikwama still
Mapenzi unayonipa mi peke yake ndio naifeel
Katoto Sinyorita roho yangu kitambo ashaisteal
Majirani wanadai we uliniwekea dumba
Huwanga siwajali, wana vitimbi ka Kanumba
Magizani we peke yake ndio me nakumba
Saa zile wamelala si tukiskizia Rhumba
So nataka nikupeleke kwa mother matime
Ukagotee kina dada na mandugu wa nyumba ya mine
Chochote unachotaka ntakupa ndio we ufurahi
Kukuwacha baby mama mimi kwako itakua crime
Njoo uchill nami
Wangu Sweet Manka
Come and swing my way
I miss you Manka
Njoo uchill nami
Wangu Sweet Manka
Come and swing my way
I miss you Manka
Yeah! Kama walisema ‘love is blind’ nimegeuka kipofu
Usije ukaniumiza ukaniwacha nikiwa na kovu
Alitenda miujiza Maulana kunipa we tu
Ni mimi na wewe forever yaani mpaka tuende juu
Ulifanya gangster aka turn to man
Ju ulinikubali ata before nikuwe na none
Kwa hii safari ni mimi na wewe ju nina plan
Nataka unizalie watoto madaughters na sons
Kaschana nikasupa kana mwili fiti
Na tena ana utamaduni ka nyatiti
Masela wanasema nili blanda mimi
Lakini tangu nikupate nimepanda ligi
Njoo uchill nami
Wangu Sweet Manka
Come and swing my way
I miss you Manka
Njoo uchill nami
Wangu Sweet Manka
Come and swing my way
I miss you Manka
Njoo uchill nami
Wangu Sweet Manka
Come and swing my way
I miss you Manka
Njoo uchill nami
Wangu Sweet Manka
Come and swing my way
I miss you Manka
Watch Video
About Sweet Manka
More UMOJA SOUNDS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl