TUNJI Mtu Wathii cover image

Mtu Wathii Lyrics

Mtu Wathii Lyrics by TUNJI


[INTRO]
Eish buda hizo ni chuja gani bro?
Gani? Hizi
Ehhh joh ni ngori yaani!
Ahhh shukran buda nilizicop to jana hapa ivi kwa plug
Ati plug?

[HOOK]
Nilitoka shop, na my new balenciagas
(new new looking fresh)
New balenciaga
Vokeh ndo my plug wa hizi new balenciaga
(new new looking fresh)
New balenciaga
Me ni mtu wathii
Mtu wathii (soko soko soko)
Lazima look ikubali
Me ni mtu wathii
Mtu wathii (soko soko soko)
Lazima look ikubali

[VERSE ONE]
Siezi toka kabla sijang'ara fiti,
Got to look nice ni impress hawa mabeauty
(mashawty yeah)
Ku-kill look,  god given duty
Cheki wakivunja shingo na sijadunga suti
Juu hadi chini niko fresh ka fruit
Clad so legit hadi maboys wanadi ku-loot
Nawafanya watii hadi wapige salute
Swagg so deep unaeza trace hadi root nina
New look kila wiki
Drip on me haishikiki (drip drip finesse)
Soma label kitu oriji
Ka una chuki unaeza enda ujidishi
Tdms, hiyo ndo gang wacha ubishi
Uliza wife
Mbona anadai kuchill na sisi
Atakushow
Ni juu si huwanga litty
Might pull up to your spot
Na sweatpants za gucci

[hook]
Nilitoka shop, na my new balenciagas
(New new looking fresh)
New balenciaga
Vokeh ndo my plug wa hizi new balenciaga
(New new looking fresh)
New balenciaga
Me ni mtu wathii
Mtu wathii
(soko soko soko)
Lazima look ikubali
Me ni mtu wathii
Mtu wathii
(soko soko soko)
Lazima look ikubali

[VERSE TWO]
Chuja me hudunga sweep your girl off her feet
My collection so vast and unique
Huwa sibongi sana I just let the sauce speak
So to speak, hey
Ka ni wavey then naitaka na najua vile ntaipata
kwanza najipanga kimkwanja the nacall vokeh
Ka si wavey na unaitaka haina shida utaipata
We jipange tu kimkwanja but si kwa vokeh
Ye hudeal to na designer
Kila kitu huwa designer
Madesign za kila aina
Got me looking ever finer
Bro my swagg too sick na me ndo docky me ndo gyna
Ukidai connect wa clad
Bro me ndo fibre
Me ndo her dp
Whatsapp twitter na fivver
Ana crush on me
Jah please guide her
Me si mtu mzuri
I might just get inside her
She fell inlove na the swagg
Tell me how can i blame her
Siwezi

[HOOK]
Nilitoka shop, na my new Balenciagas
(new new looking fresh)
New balenciaga
Vokeh ndo my plug wa hizi new Balenciaga
(new new looking fresh)
New balenciaga
Me ni mtu wathii
Mtu wathii (soko soko soko)
Lazima look ikubali
Me ni mtu wathii
Mtu wathii (soko soko soko)
Lazima look ikubali

[OUTRO]
I be looking fresh and fab
New look got me fresh and fab
New look got me fresh and fab
I be looking Nice
I be feeling  Nicer

Watch Video

About Mtu Wathii

Album : Mtu Wathii (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Oct 14 , 2018

More TUNJI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl