Makosa Lyrics
Makosa Lyrics by TRESOR
Hhhhhmmmm Abetuala fonanne
Hhhhhmmmm Abetuala fonanne
Kuja nyumbani
Najua nimefanya makosa
Moto rohoni
Na Bila kiyonyo unaenda
Niko na makosa
Ona ginsi nime shuka wewe haunijali
Niko na makosa
Ona ginsi nime shuka mbone haunione
Ole! Nilizami tuta baki mpaka mwisho
Mbone wakimibiya wewe
Ole nime kosa ila mimi na omba ubaki
Mbone unatupa ndoto, mbone unatupa ndoto
Mmmh Nkolo
Mmmh Nkolo
Mmh Nkolo
Mmmh Nkolo
Hari twende mbali
Milima mabonde tuta shinda
Nta leta mtoni
Na kama maji tu tirirke
Niko na makosa
Ona ginsi nime shuka wewe haunijali
Niko na makosa
Ona ginsi nime shuka mbona haunione
Ole! Nilizami tuta baki mpaka mwisho
Mbone wakimibiya wewe
ole nime kosa ila mimi na ompa ubaki
Mbone unatupa ndoto
Mbone unatupa ndoto
Mmmh Nkolo
Mmmh Nkolo
Mmh Nkolo
Mmmh Nkolo
Safari yako ya nipa shida
Mbone mimi na pima
Safari yako ya nipa shida
Mbone mimi na pima
Ole! Nilizami tuta baki mpaka mwisho
Mbone wakimibiya wewe
Ole nime kosa ila mimi na omba ubaki
Mbone unatupa ndoto
Niko na makosa
Ona ginsi nime shuka wewe haunijali
Niko na makosa
Ona ginsi nime shuka mbona haunione
Watch Video
About Makosa
More TRESOR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl