Amsha Lyrics
Amsha Lyrics by SULTAN WA PWANI
Mi ndio kusema nampeka na rieng
Chanda chema namvalisha my ring
Nimeshampenda wanakereka kwa news
Na wakitusema wanafaidika na nini?
Watajifix tunazidisha mathings
Tunashukisha madrinks, no mayengs, no ma ex
Nakupa full la tuition, no matricks
Am loyal for your case, behind your back and on your face
Stay cool and faithful
We ndo boarding we ndo dayschool, yeah you
Mi mchokozi playful
But I stay true
Unanichangamsha, amsha amsha
Unani amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Unani amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Una amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Una amsha amsha
Kabla ya kula nanawa
Baada ya kula nanawa
Kisha nala tena
Unanipa mzuka kahawa
Sina la kusema
Duka la dawa unavyonipa dosi
Umeumbika uko sawa bila vipodozi
Umenishika mabawa mapenzi kikohozi
Kwako siruki sichezi na vikojozi
Stay cool and faithful
We ndo boarding we ndo dayschool, yeah you
Mi mchokozi playful
But I stay true
Unanichangamsha, amsha amsha
Unani amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Unani amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Una amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Una amsha amsha
Unanvyoniamsha eti ni kama kumekucha
Ile rausha ya gazeti, au nyama imefika bucha
Au utafikiri nimeketi, kichwa inakuna kucha
Hawa matumbiri hawapendi, mabambucha
Watajifix tunazidisha mathings
Tunashukisha madrinks, no mayengs, no ma ex
Nakupa full la tuition, no matricks
Am loyal for your case, behind your back and on your face
Unanichangamsha, amsha amsha
Unani amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Unani amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Una amsha amsha
Unanichangamsha, amsha amsha
Una amsha amsha
Watch Video
About Amsha
More SULTAN WA PWANI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl