Ghetto La Bibi Lyrics
Ghetto La Bibi Lyrics by SHOLO MWAMBA
We kama vipi nenda ukalale
We sisi tuko mpaka mishale
We kama vipi nenda ukalale
We sisi tuko mpaka mishale
Kama vipi nenda ukalale
We sisi tuko mpaka mishale
Hallo wee, hallo tena
Basi tena sijalala utauwawa bure
Sijalala utauwawa bure
Mama sijalala utauwawa bure
Sijalala mwambage utauwawa bure
Hallo wee, hallo tena
Hallo wee, hallo tena
Ah mimi Sholo Mwamba
Msalamu wa msanga
Bibi alipokufa alinipa uridhi
Uridhi alio nipa Sholo umenishinda
Wadau msiniliaumu, ghetto la bibi
Wanangu msinilaumu, ghetto la bibi
Hakuna kapeti kuketi mkekani, ghetto la bibi
Hakuna friji ni maji mtungini, ghetto la bibi
Ukiingia utalitamani, ghetto la bibi
Mswaki dirisha ni kama bafuni, ghetto la bibi
We pozi kubwa bora mdomoni, ghetto la bibi
Wadudu wadudu kama mbugani ghetto la bibi
Hakuna pasi ya kipande cha kitenge, ghetto la bibi
Ukiingia utalitamani, ghetto la bibi
Hakito ni rafiki yangu
Umehamia juzi juzi hapa
Hata mwezi bado
Ushaanza kuniudhi
Nikikumbuka wewe ni rafiki
Tena mshikaji wangu
Ulipohamia kwangu, masharti nilikupea
Ghetto hili la urithi nimeachiwa na bibi
Tena tunapoishi hapa kama kwa mganga
Wadau msiniliaumu, ghetto la bibi
Wanangu msinilaumu, ghetto la bibi
Hakuna kapeti kuketi mkekani, ghetto la bibi
Hakuna friji ni maji mtungini, ghetto la bibi
Ukiingia utalitamani, ghetto la bibi
Mswaki dirisha ni kama bafuni, ghetto la bibi
We pozi kubwa bora mdomoni, ghetto la bibi
Wadudu wadudu kama mbugani ghetto la bibi
Hakuna pasi ya kipande cha kitenge, ghetto la bibi
Ukiingia utalitamani, ghetto la bibi
...
Wanangu ,milusi kidogo
Masela milusi kidogo
Nimemiss kelele wanangu piga kidogo
Weka tena mama mama
Nimemiss milusi wanangu piga kidogo
Twende tena, kimenuka uswahilini mambo leo
Kimenuka uswahilini mambo leo
We mwendo wa madera, madera na vijora
We mwendo wa vijola, vijora na madera
We mwendo wa madera, madera na vijora
We mwendo wa vijola, vijora na madera
Weka tena mama, naona raha
Basi tena mama, naona raha
Mzuka ukipanda na ngup zote utavua
Basi tena mbona huvui, mbona huvui
Mwanangu mbona huvui, mbona huvui
Jamani unanikosha baharia
Messen angalia mdogo mdogo utaua
Messen angalia mdogo mdogo utaua
Anatomtoa jasho ntiti lazima nicheze
Anatomtoa jasho ntiti lazima nicheze
Anatomtoa jasho mwamba lazima nicheze
Anatomtoa jasho ntiti lazima nicheze
Utaua, baharia utaua
Utaua, baharia utaua
Watch Video
About Ghetto La Bibi
More SHOLO MWAMBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl