Tundura Lyrics
Tundura Lyrics by SEWER SYDAA
Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa
Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa
Tupate juu ya Chrome
Inshort tuko in High spirits
Wnakuadore sana mto mpaka wanawish mngekuja wawili
Si ni ma Home Grown ata kwa TV si uona KBC
Kuna siku nimeuliza Alexa ka anajua siri akasema zii
Eeeh yoh! Deal ikiivana seal it
Drink ilitepwa, master aliekwa chini na Guiness mbili
Mgema alinena usiende na mrenga big kushinda Harrier Mugithi
Hatnanga kichana nywele tunaziachilia chini kama Mungiki
Naona marithe zitakuwa cheap Biden akikalia iyo seat
Ngithe za upigwa key kesho yake unaskia vault iko nill
System si upiga B zabe tunachill na squad ya D
Mandem ivo ndo alijua kuwapin kwa street
Uko na gun na hauna badge aje
Tuko club liquor imerun tuko stranded
Wapi mshande yout wamange
End month na haijakam watu washandwe
Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa
Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa
Ma re-union zetu si hupatana tukienda ingata
Stone yangu ya kwanz mi hukumbuka nikiichukulia Biafra
Magava hawakunibamba niliruka nganya nikaingia kwa angasa
Inaitwa Uber driving na sibongi sana otherwise ntakua vulgar
Mode alimwambia ye uwa hashiki kitu ye usjhika tu mkia
Kufika 16 hakuwaishika p2 alishika tu mimba
Amina ye uaminia adi anageuza teacher mjinga
Alianza kutupima akakua politician sai amegeuka killer
Shitstem shistem sai adi lion akipatiwa ganji anadiste
Niite Kite ka uko na key tusanif izo bangi tuive
Ndihe alinchuja kufika mtiecha me upata mndila amefunga
Mndila alifunga kufika mesti nimeiva ndihe akanichuja
Uko na gun na hauna badge aje
Tuko club liquor imerun tuko stranded
Wapi mshande yout wamange
End month na haijakam watu washandwe
Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa
Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa
Watch Video
About Tundura
More SEWER SYDAA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl