Rumours Lyrics by SEWER SYDAA


Eyo!! yo! yo! yo!!

Haukuskia rumours haukuskia rumours 
Muthurwa kuna Chargie alinyuria
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma

Haukuskia rumours haukuskia rumours
Pesa ya covid hao watiaji auskii wamekula
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Dera ya shawre ndo imetuma Mwangi akatumwa

Substance abuse 24hrs juu ya curfew
Tumechrome ndani ya boot ya whip ya mdabus
Tuko lay(d) back tukiskia akina Taabu
God aitwe God jo kidogo tuingie mbaru

Kila mtu anapiga show Live sai IG
Sue who? Tuko Nairobi izo pelekea YG
Ni gwaash flani na nywele shaggy it wasn't me
Me nlipitia kwenu mkafail ku acknowledge Rabii

Nabii tangu sixteen, 16s kwa beat
Kwa chief anaku p3 kwa ivo anaku Peace
Kwa street usijoke na si unaeza bleed
Tuko D apo reli Mowlem ya chini

Tunaichimbianga auskii adi mpaka kwa filter
Rende ya bilaa but we tutakuingia Bicham
Mdenge mfisa ..mahari nililipa
Sai naikinda n'gat kitu niliiwai point tisa

Haukuskia rumours haukuskia rumours 
Muthurwa kuna Chargie alinyuria
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma

Haukuskia rumours haukuskia rumours
Pesa ya covid hao watiaji auskii wamekula
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Dera ya shawre ndo imetuma Mwangi akatumwa

Tuko na joto so man maintain total
mangoto kwa mkono ka flexie uto tutoto
Alienda courtko juu ya ngori ndogoo
Master wa keys auskii alibambwa kwa KotKot

Moshi kwa nasal, ati sina moral
na nyi mnakulana ....ati oral
sosi icho kolo, pasishia mukuru 
Atii, aache kuwaza na apunguze usoroo

Freestyler aliganda kwa battle flani ya Ondu
Hangover kumwaora unaezadhani Gondu
Vijana wapewe wera na peace ireign Umo 2
Roba alienda ahera juu ya kusnatch NOTE 2

Marapa ka si sijui pia tutaingia COTU
Atuoni, juu ka farmworker analipwanga soo tu
Na Francis Atuoli, ye udhani watu wako showroom
Na Roho juu nauliza kwani 
Doo ya wasanii haitokii?

Haukuskia rumours haukuskia rumours 
Muthurwa kuna Chargie alinyuria
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma

Haukuskia rumours haukuskia rumours
Pesa ya covid hao watiaji auskii wamekula
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Dera ya shawre ndo imetuma Mwangi akatumwa

Watch Video

About Rumours

Album : Rumours (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Rong Rende
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 25 , 2020

More SEWER SYDAA Lyrics

SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl