SARAH MAGESA Bado Nakungoja  cover image

Bado Nakungoja Lyrics

Bado Nakungoja Lyrics by SARAH MAGESA


Bado bado nakungola hata kama nonalia Baba
Bado bado nakungola hata watu wote waniache
Niko hapa mwanao bado nakungoja
Nakusubiri wewe mwenye majibu yangu
Niko hapa mwanao bado nakungoja
Nakusubiri wewe mwenye hatima yangu
Bado bado nakungoja niko hapa Yesu
Bado bado nakungoja niko hapa Baba
Bado nakutazama wewe Yesu,
Niko hapa mwanao bado nakungoja
Niko hapa Yesu, niko hapa mwanao
Bado nakungoja nalia machozi lakini nakusubiri wewe Baba

Kuna mtu mmoja aliyeitwa ayubu
Maisha yake ya mwanzo yalikuwa mazuri sana
Lakini mwisho maisha ya ayubu, yaliku wa mabaya
Lakini mwisho maisha ya ayubu, yaliku wa mabaya
Alikuwa na mali nyingi mungu alimbabriki
Alikuwa na familia uzuri mungu alimbariki
Alikuwa na maisha mazuri tena ya kifahari
Alikuwa na kila kitu ayubu mungu alimbariki
Lakini mwisho wa siku ayubu alibaki masikini
Tena pamoja na umasikini alioza mwili mzima
Tena pamoja na yote alikuwa ni mtu wa shida nyingi
Alilia lia lia kila wakati ayubu
Aliteseka kwa mawazo ayubu
Lakini moyo wa ayubu ulimtumainia bwana
Lakini ayubu alimngoja Yesu
Lakini ayubu alimsubiri bwana
Mwisho wa siku mambo ya ayubu yakabadikali
Aliyekuwa han akitu akawa mwenye utoshelevu
Ayubu alikungoja bwana
Ayubu alikusubiri

Bado bado nakungoja, hata waniache peke yangu
Nipo hapa mwana bado nakungoja
Nipo hapa mwana bado nakungoja
Bado bado nakungoja, bado nakusubiri Baba
Bado nakuangalia wewe, bado nakutumainia wewe
Nipo hapa mwana bado nakungoja
Nipo hapa mwana bado nakungoja
Baba niko hapa

Kama ni kusoma nimesomu sana eehe
Nilikuwa na kazi nzuri sana
Kama ni elimu niilikuwa na elimu nzuri
Ya duniani hapa
Hata familia nilikuwa na familia nzuri sana
Nilikuwa na watoto, nilikuwa na mali nyingi sana
Lakini vyota wimeondoka Yesu
Lakini vyota wimeondoka bwana
Nimebaki sina mbele wala nyuma mungu wangu
Nimekuwa mtu wa kuomba omba kila siku
Nimeachishwa kazi nimefutwa kazi
Sina mbele wala nyuma
Nimefukuzwa kazi sijui bwana mimi ninaishije
Ila moyo wangu bado unakusubiri
Ila moyo wangu bado unakungoja
Ila moyo wangu bado unakutazama wewe
Lakini ayubu alimsubiri bwana
Mwisho wa siku mambo ya ayubu yakabadilika
Aliyekuwa hana kitu akawa mwenye utoshelevu
Na mimi ninakungoja bwana
Na mimi niko hapa Baba ninakusubiri

Bado bado nakungoja
Bado Yesu bado nakusubiri wewe
Nipo hapa mwana bado nakungoja
Nipo hapa mwana bado nakungoja
Bado bado nakungoja
Bado Yesu bado nakusubiri wewe
Uliyebeba hatima ya maisha yangu
Nipo hapa mwana bado nakungoja
Nipo hapa mwana bado nakungoja
Nakungoja Yesu wangu

Watch Video

About Bado Nakungoja

Album : Bado Nakungoja (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Aug 05 , 2021

More SARAH MAGESA Lyrics

SARAH MAGESA
SARAH MAGESA
SARAH MAGESA
SARAH MAGESA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl