Tam Tam Lyrics by RIX RORO


Yoh Fralee Bolo, Rix Roro
Yoh Kappy

Ati ati ati ati ati
Ati ati ati ati ati
Ati ati ati ati ati
Koro

(Siren on the beat)

Kujia tam tam, tam tam
Hanjam zangu longterm
Kwata pattern, mi hufanya
Mi hufanya olympic downtown

Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, si leo si ka kesho
Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, si leo si ka kesho

Dem ni keki na high lace za ndege 
Kutembea ovyo ovyo utadhani mburukenge
Kwa chuom zimeshika tumekutwao na majenge
Afande iko nini? Twende utasemea mbele

Si ndo kunyamba na si ndo kusema
Genge la wagenge mistari tunazitema
Mahaters 254 bado tunawatekenya
Na leo si ka kesho tunawaacha wakihema

Si ni wale wanare wanatuita rong rende
Si ni wale tukiroga nani hadi utosheke
Hatupendi watu wasoro utafanya tuboeke
Ukileta za ubani tutakuvua ngumi bwegze

Kujia tam tam, tam tam
Hanjam zangu longterm
Kwata pattern, mi hufanya
Mi hufanya olympic downtown

Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, say si leo si ka kesho
Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, say si leo si ka kesho

Ka scolls nikiball mi hupiga kato
Douboa ka mara double
Usishtuke ukikuta unalea deer
Father of all nation nasaka malkia

Twende race mita mia tuone nani atachoka
Nikifuata passion wanafuata kuomoka
Nakupenda si siri so siwezi kuita wide 
Na kukucheza ka team ina chenga siwezi try yoh

Kujia tam tam, tam tam
Hanjam zangu longterm
Kwata pattern, mi hufanya
Mi hufanya olympic downtown

Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, si leo si ka kesho
Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, si leo si ka kesho

Goodmorning guest hapa planning to calling rescue
The beef is undertaken shtua squad za KQ
Na ka ni doba basi man down with this playtune
Tik tik tok taxin toa chok yoh
Team toa lock bado fe nai cock
Lugha mi hubonga bado lugha mi hutalk
Mi hutema teke teke unaeza dhani Eminem
Nikishashikaga mbuku mi naichoraga na pen 

Kujia tam tam, tam tam
Hanjam zangu longterm
Kwata pattern, mi hufanya
Mi hufanya olympic downtown

Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, si leo si ka kesho
Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, si leo si ka kesho

Kujia tam tam, tam tam
Hanjam zangu longterm
Kwata pattern, mi hufanya
Mi hufanya olympic downtown

Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, si leo si ka kesho
Leo si ka kesho, kesho shoke
Shoke kesho, si leo si ka kesho

Watch Video

About Tam Tam

Album : Tam Tam (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 27 , 2020

More RIX RORO Lyrics

RIX RORO
RIX RORO
RIX RORO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl