Basi Lyrics
Basi Lyrics by PRODUCER BONGA
Moyo umevuja damu
Maumivu naugulia mwenyewe
Hivi ufahamu
Kuna safari tulopanga na wewe
Ah ah sikulaumu mama
Huenda ngoja ngoja zilikuzingua
Zile ahadi nitakununulia Hammer
Hapo kesho nikitusua
Wee shida imekuwa gumzo
Nilijitahidi uridhike
Walokuridhia matuzo
Wameniacha niaibike
Ooooh ooh, oooh shida
Ah ndo zilofanya ukaondoka, oooh shida
Au ndo penzi langu umechoka, oooh shida
Miwazo ya money goroka, oooh shida
Basi basi, Basi basi basi
Basi basi, kama langu la kukosa sawa
Basi basi, eti leo nakuganda chawa
Basi basi, japo kuwa kishingo upande oooh
Nimeanza kuzoea machozi maana
Imekuwa moja ya furaha yangu
Kutendwa kama dozi
Kila siku zamu yangu
Au ndio siyawezi
Si waniona ndama
Eeh umechoshwa shida zangu
Bora ungenichuna ngozi
Nipate furaha yangu
Inachoniuma umeacha doti ya kanga(Kanga)
Kila nikiona ndo kinaamka kizanga(Zanga)
Ooooh ooh, oooh shida
Ah ndo zilofanya ukaondoka, oooh shida
Au ndo penzi langu umechoka, oooh shida
Miwazo ya money goroka, oooh shida
Basi basi, Basi basi basi
Basi basi, kama langu la kukosa sawa
Basi basi, eti leo nakuganda chawa
Basi basi, japo kuwa kishingo upande
Basi basi, Basi basi
Basi basi, Basi basi
Basi basi, Basi basi
Basi basi, Basi basi
Watch Video
About Basi
More PRODUCER BONGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl