Naogopa Lyrics
Naogopa Lyrics by PLATFORM
Hmmm iye iye iye …
Langu tope utelezi utaweza
Kuvumilia madhaifu yangu
Nakwenye kope nikweli utaweza
Kuzuiya vumbi mbegu ya mnazi
Usinipande jangwani
Hakuna maji
Wala mbolea kuchipua kazi
Kula yangu ya foleni
Me pizza burger sijazoea
Naomba kwa mola aah
Kila siku moyo wako
Usije jawa chuki
Kovu la ufukara
Umelifuta kabisa
Umeniepusha na dhiki
Mwenzako naogopa
Mi naogopa
Mwenzako naogopa
Mi naogopa
Mi naogopa
Mmhmm… iiiiih… iiiiih
Ushajua madhaifu yangu
Basi usifanye fimbo yaku yakunihukumu eeh
Iwe chungu tamu kwa wezangu
Penzi lifike ukingo utanimbua eeh
Na shilingi ina pande mbili
Bichwa na mwenge ilo kaa ukijua
Navyandani uvifanye siri
Usije lopoka bure ukaniumbua
Naomba kwa mola aaha
Kila siku moyo wako
Usije jawa chucki
Kovula ufukara
Umelifuta kabisa umeniepusha na dhiki
Mwenzako naogopa
Iyee noagopa, naogopa
Mazonge siwezi
Mi naogopa
Ukiniacha mwenzako
Watanicheka wale unajua wee
Mwenzako naogopa
Iyeeh Naogopa, naogopa mazonge siwezi
Mi naogopa
Ukiniacha watanicheka vibaya Wooo oohoo
Usinipande jangwani
Hakuna maji
Wala mbolea kuchipua kazi
Watch Video
About Naogopa
More PLATFORM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl