Crush Lyrics
Crush Lyrics by OTILE BROWN
Ooooh beiby
Sometimes nahisi kama
Ni jana tumekutana
Kwa miaka ishirini ndani ya ndoa
Ila bado unanikoshaga
Una mature kama wine
Watoto watatu ila haujafulia
Tena mapenzi hayajapungua
Nakupenda zaidi ya jana
Wala sijakuchoka
Mapenzi yanazidi noga
Najua huna masonga
Na wazuri wamezaliwa
Ila wewe ndo bora
Fashion nova youu...eeeh
Yoou....fashion nova you
You are my favourite
Mulina wanje
Fashion nova youu....eeeh
Yoou....am still crushing on you
You are my favourite
Mulina wanje
Oooh beiby...oooh yeah
Oooh beiby
Eeh eeh
If am to choose
Girl i still choose you
Mara nikikuona roho inagonga dudu
Kwako nalilia sinong'oni bubu
Wajua zaidi yako mimi sinaga
Wananiuliza kipi nacho kupendeaga
Si lazima waelewe, beiby
Juu mimi nakupenda mwenyewe, beiby
Wala sijakuchoka
Mapenzi yanazidi noga
Najua huna masonga
Na wazuri wamezaliwa
Ila wewe ndo bora
Fashion nova youu...eeeh
Yoou....fashion nova you
You are my favourite
Mulina wanje
Fashion nova youu....eeeh
Yoou....am still crushing on you
You are my favourite
Mulina wanje
Watch Video
About Crush
More OTILE BROWN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl