C.O.M.O Lyrics
Kenyan artist Odi wa Murang'a of Boondocks gang has released "C.O.M.O" his lon...
C.O.M.O Lyrics by ODI WA MURANG'A
Yeah! Odi wa Murang'a
Odi wa Murang'a uko under arrest
Kesi ya kwanza ulidinya game mbele ya press
Kesi ya pili mbona ulishuta mbele ya mresh
Siko sorry ilikuwa plan yangu niende cell
Ju nisipo hawa marappers hawatasell
I swear noise nimemake inaskizwa hadi hell
Na ikus nimechimba nzilu hunuka caramel
Kelele mwapa kichwa daily I need a pastor men
Wananilook up to haikuanza sai
I think ilianza nikiwa kidato Murang'a high
And I was the ony one who knew how to roll a ngwai
The reason tungeafford Taifa leo ndo ilidai
Wanauliza Odi mbona unachananga jaba
Odi mbona unasetingi wada kila time uko mashada
But mbona hamjiulizangi maswali kama
Odi we ni star na bado hujaishika Hummer
Ju ile time tuko mashow na kwetu sijai hama
Ile time tuko kwa mbulu na kiatu imeinama
Industry imejaa manyoka, F*ck y'all
Umbw* sana
"I don't like ...."
Watch Video
About C.O.M.O
More ODI WA MURANG'A Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl