Aminia Lyrics
Aminia Lyrics by NYASHINSKI
Yeh
Niko hapa kuwapa muziki mzuri
Wako hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia ma rapper hupendwa na madem bas
Wanajiita lyricists kwa hizi interviews
Na mimi tu ndio nimetoa lyric video
Ika hit a million views how
Ati Nyash hii area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya
Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire
Secular lakini unaandika gospel fire
Si live a lie
Najua nta-sound kama niko ma drei
But juzi walai
Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai
Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai
True story!
Klepto si mtarudiana lakini
Hatujai achana tunaruadiana kwa nini
Na machali wa Inshalla mi na vijana wawili
Tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tusipimane akili mi na kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi
Mi ndo teacher
Enyewe manze wataacha lini kujichocha
Juu ni clear tukisimama
Hao na mimi mi ndio mnaprefer
Aminia
Oh nanana eh
Aminia
Oh nananana eh
Aminia
Oh nananana eh
Aminia
Oh nananana eh
Aminia
Ahahahahah yeah
Aminia
Ahahahahah yeah
Aminia
Ahahahahah yeah
Aminia
Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu
Au nikitoka niachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
Kila converstation ni ka Deja Vu
Maisha imejaa na watu fake si uongo
Na visu zakunidunga nkiwageuzia mgongo
Washa sense ntakafunga so wananyemelea
Siezi afford kumwaga unga najitegemea
Sieki imani kwa binadamu mimi
Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi
Ah ka sikupendi sikufichi
No pretending hata simu zenu mi sishiki
N'kuwe pissed kwa nini
Siko pissed, niamini mi niko bien
Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia
Maybe tu argue beats au beer
Hatuezi argue iko rapper anatoa hits ka mimi
Aminia
Oh nanananana
Aminia
Oh nananana eh
Aminia
Oh nananana eh
Aminia
Oh nananana eh
Aminia
Ahahahah yeah
Aminia
Ahahahah yeah
Aminia
Ahahahahah yeah
Aminia
Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza
Sijieki na Don Larry ama Martin Luther
Nani huyo asiyenenwa na interview, sio m
Watch Video
About Aminia
More NYASHINSKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl