Niteke Lyrics by NUH MZIWANDA


Kwako nimelamba turufu sugarasa
Wachimba chumvi wananichora ee
Mabishoo wa mjini wote  kapa 
Walojaribu kunipora

Kwako nimelamba turufu sugarasa
I will always love you you
Me get again, get again mamorasa yeah

Basi vimba nami my sweet melody
Tukikosa leo tuongeze bidii
Usijali baby everything is gonna be alright
Kwako sioni sisikii unanipa nini?
Hata kama sina kitu uko nami
Usijali baby everything is gonna be alright

Napenda ukiroll up your waist
Girl you the best
Give me that, give me that 
Wanna go test
I say East to the West
They know we best
Kwako sina say umeniweza

Mimi kwako niteke niteke
Umeniweza niteke niteke
Sina ujanja, niteke niteke
Umenipa nini my wangu, niteke niteke

Mimi kwako niteke niteke
Umeniroga, niteke niteke
Sina ujanja, niteke niteke
Umenipa nini my wangu, niteke niteke

Mimi kwako...

Nikisema nikusifie nitasifia mangapi
Nikisema nikuibie, nitaiba kwa wangapi
Wanasema nikuachie, ili uende wapi
Acha tu nikung'ang'anie kwani shingapi
Ungekuwa malaika ningeomba niwe mbawa
Ukilalia shuka chafu nitaomba uwe chawa
Nitabaki chumvini ukienda mwezini si sawa
You're my max naumwa mapenzi nipe dawa

Nitakufanya wewe mcheke mcheke
Na sitakuacha we mpweke mpweke
Acha nifanye tu makeke keke
Uvae shela la harusi na nikuvishe na pete

Okay kwani U hali gani? Mi kwako taabani
Hata nikipata steem nashusha na mjani
Kama kuniroga niroge na moja Tanga
Si uchawi wa kuniroga mpaka uende kwa mganga

Napenda ukiroll up your waist
Girl you the best
Give me that, give me that 
Wanna go test
I say East to the West
They know we best
Kwako sina say umeniweza

Mimi kwako niteke niteke
Umeniweza niteke niteke
Sina ujanja, niteke niteke
Umenipa nini my wangu, niteke niteke

Mimi kwako niteke niteke
Umeniroga, niteke niteke
Sina ujanja, niteke niteke
Umenipa nini my wangu, niteke niteke

Mimi kwako...umeniroga
Sina ujanja, Umenipa nini my wangu?
Mimi kwako...umeniroga
Sina ujanja, Umenipa nini my wangu?

Watch Video

About Niteke

Album : Niteke (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 22 , 2021

More NUH MZIWANDA Lyrics

NUH MZIWANDA
NUH MZIWANDA
NUH MZIWANDA
NUH MZIWANDA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl