
Najua Lyrics
Najua Lyrics by NIMO
(Alexis on the beat)
Kuna wakati ulifika
Mbingu ilinyamaza sana kwa maisha yangu
Nikataka kwenda mbali na mbingu
Mambo ya kusifu sikutaka tena
Nikashindwa Mungu wangu yuko wapi?
Tena nikawaza bingu yangu iko wapi?
Nikakumbuka matendo yako uliyoyatenda
Daudi alikuita Baba kakuona
Pia Musa ye alikuona
Kwa maisha yangu pia nitakuona
Ntakuona
Mi najua Baba, utaonekana tena
Mi najua Yesu, utaonekana tena
Ah tena tena, utaonekana tena
Ah tena tena, utaonekana tena
Nakutumainia Bwana aaah aaah
Nakutumainia Bwana oooh
Na nikiwa kwa uwepo wako
Mi najua mimi nitapona tena
Na nikiwa kwa mwanga wako
Mi najua mimi nitaona tena, iyaa ah
We ndo chanzo cha maisha yangu
Uliniumba ili nikusifu
We ndo chanzo cha maisha yangu
Uliniumba ili nikusifu
Daudi alikuita Baba kakuona
Pia Musa ye alikuona
Kwa maisha yangu pia nitakuona
Ntakuona
Mi najua Baba, utaonekana tena
Mi najua Yesu, utaonekana tena
Ah tena tena, utaonekana tena
Ah tena tena, utaonekana tena
Mi najua Baba, utaonekana tena
Mi najua Yesu, utaonekana tena
Ah tena tena, utaonekana tena
Ah tena tena, utaonekana tena
Watch Video
About Najua
More NIMO Lyrics
Comments ( 1 )

Beautiful
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl