Pigwa Tetanus Lyrics
Pigwa Tetanus Lyrics by NDOVU KUU
Eyy
Si tuko mboka
Mboka
Ndovu Kuu kwa screen hamwezi nitoka
Toka
Nina dame Mkisii anaitwa Kwamboka
Mboka
So my ex can see vile nimeomoka
Alafu naskia kuna vile Pamela aliokoka
Okoka
Anachai kwa church kuwachezea poker
Poker
Ushaiona cocktail ya panya na nyoka
Utachoka
Walitry kutudim ivo ndo tulithoka huh
Ogopa
Chali yako ako CRB na unaringa ayy
Aki walae we ni mjinga ayy
Bishana na ndovu kudenki
Buda mi hudenki
Huwezi Nipinga ayy ayy
Msupa ni dinga ayy
Nyuma ni bata mzinga ayy
Aap se milkar khushi hui meraa naam haathi ki kalasinga aiyai
Pigwa Tetanus ah ah
Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja
Tetanus ah ah
Vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa
Tetanus ah ah
Opps walitry kututest walijua hawawezi
Mess with us ah ah
Shhhh tulia nikupange pigwa
Tetanus ah ah
Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja
Tetanus ah ah
Vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa
Tetanus ah ah
Opps walitry kututest walijua hawawezi
Mess with us ah ah
Shhhh Tulia nikupange pigwa uuuhhh
Eyy kiki sikupei itabidi ujitegemee
Hauwezi fika bei bas tuliza mehemehe
Kuwaosha everyday hamjawai tulemea
Ushindi tunashindiliiiiiiiiiaaa
Eyy wanashindwa ni jea
Tunasonga mbele wamekula chair
Wapige kelele but we never care
Mziki ni tele siwezi potea
Ndovu is here mtaniskia
Nko hapa na pale siwezi ishia
Wananipenda huskii wakicheer
Ndovu ni kuu mia kwa mia
Pigwa Tetanus ah ah
Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja
Tetanus ah ah
Vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa
Tetanus ah ah
Opps walitry kututest walijua hawawezi
Mess with us ah ah
Shhhh tulia nikupange pigwa
Tetanus ah ah
Ati umekatwa dawa ya wembe ni moja
Tetanus ah ah
Vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa
Tetanus ah ah
Opps walitry kututest walijua hawawezi
Mess with us ah ah
Shhhh Tulia nikupange pigwa uuuhhh
Mboka
Hamwezi nitoka
Anaitwa Kwamboka
Vile Nimeomoka
Alafu naskia kuna vile pamela aliokoka
Ah ah ah
Aki walae washatujua ah ah ah
Basi weka mkono juu ah ah ah
Yes you
You
Ndovu bado ni kuu
Watch Video
About Pigwa Tetanus
More NDOVU KUU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl