NAHSHCAHSH Beatbox cover image

Beatbox Lyrics

Beatbox Lyrics by NAHSHCAHSH


Mi si puff but na pass
Ka stivo vivijana itabidi mazee mmesare ma Dre
Ka beat ni sick mi ni Dr Dre
Nimedunga pia ma beats by Dre
Nguvu za ulimi tusibishane
Ju kwa studio mi ni baba yao father figure
Miucelebrate hadi father’s day
Nimesimama wima 10 toes
Na kishada kwa toja 9 inch
Ukona figure nane so what
Kwa account Jo figures ni Saba
6 digits pin yangu
5 seater ndae yangu,
4 some na Madem watatu
Na Last 2 Long so what
Nawapiga shoti uno moja
Astalavista ka tu nimetoka waah

Cheki tu vile mind yangu inawork,
Nafika kwa booth na rhyme na go na flow na beat
nikithink na spit na make ma hits na lines ni mob
kuliko kitabu ruled na si A4 Jo ni A2

Ka Pesa ni sabuni uliza Swale mdoe
maji ndio nini
Tafakari tu ya babu
Ona vile mi nawaza
Nina Akili ya babu
Nguvu bado mi kijana ahh
Buda nawakanganya
Ona nawachanganya
Ukitaka niite babu owino na si tafadhali

Ju mi Hubonga na capital letters
King Kong najipiga kifua
Hoes walai watakusotesha
Mi huwapita Nikama kipofu
Mic stand ndo walking stick
Head high ndo walking style
Kwa chest sign ya superman
IQ ni ka ya Zuckerberg
Skiza tu vile na switch flow
Mashawrie tu wananisweet talk
Kwa bank Buda mi si tiptoe
Na march Kwa life wana mark time

Na sina time Hadi ya kumingle
On point design ya decimal
Off white kama tu Msee amebleach
Alpha on top kwa food chain
Manzi anahema ju ya Ass size
Nawastress wanapata ulcers
Mi si waste time Niko clockwise
Ka si pesa unakula tu blue tick
Niko single sina maringo
kuja tu mingle visimple
Na rap non-stop tulia nivute tu hewa
Ju sai nawasimulia
Simutuinalia akunakutulia
Ndoto zangu daily mi nakimbilia
Verse mingi kama tu za bibilia
Weka beat jua mi ni mkarabati
Paper chaser mi nasaka karatasi
Leta cash pamoja na stakabadhi
Time is money akuna kuaribu wakati
Niko busy busy jo kilawakati
Kwa majina rudia ni Nahshcahsh

Watch Video

About Beatbox

Album : Beatbox (Single)
Release Year : 2021
Added By : Kate
Published : Jul 21 , 2021

More NAHSHCAHSH Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl