Single Lyrics
Single Lyrics by MISS P (KENYA)
Unataja moyo wangu ushafika kapeti
Nishageuka soko
Afadhali niwe solo
Mapenzi masomo bila cheti
Kupenda kasoro
Na tena heri kuwa single
Badala ya kushinda natunga wimbo
Vile umenivunja moyo moyo moyo
Na tena heri kuwa single
Badala ya kushinda natunga wimbo
Vile umenivunja moyo moyo moyo
Afadhali niende zangu zangu baba
Niridhishe moyo wangu wangu sasa
Afadhali niende zangu zangu baba
Niridhishe moyo wangu wangu sasa
Penzi limedai hakuna kufufua
Sitata wa uhai, lazima nitapona
Sitawalaghai mapenzi bila kosa
Upendo wa halaali
Si ulisema unanipenda eeh
Ukaahidi hutanitenga we
Sasa kilio na majuto
Umenitoka kama choyo we
Niko nyuma tu kivumbi we
Nisimulie vipi story yangu
Afadhali niende zangu zangu baba
Niridhishe moyo wangu wangu sasa
Afadhali niende zangu zangu baba
Niridhishe moyo wangu wangu sasa
Watch Video
About Single
More MISS P (KENYA) Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl