Yataniua Lyrics by MBOSSO


Ni nini hiki mbona chanizuzua
Nini hiki mbona chanisumbua
Nakaribia kuzalilika
Nakaribia kuzalilika

Aliyeumba mapenzi hakusema yanamaumivu
Aliyeumba mapenzi kakusema unaua wivu
Gharama mapenzi gharama
Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
Gharama mapenzi gharama
Na nidonda sugu halitibiki ukishazama
Unamuamini nakuzani ndugu yako
Kumbe kijini ndio baby wa baby wako

Mapenzi yataniua
Bora nitafute pesa nianze jishaua
(Niwe happy now)
Mi mahaba yataniua (yatani kill)
Bora nitafute pese nianze jishaua
Nikizipata ni
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitu tu
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi

Na watakoma aisee hili party
Nyama choma ashjee ashe
Miziki magoma ashjee vya arusha nivichomaje aje aje
Na watakoma aisee hili party
Nyama choma ashjee ashe
Miziki magoma ashjee vya arusha nnita vishhh
Nipite na kila mtu
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Eh, kaa kupenda kampende baba ako (aah baba ako)
Si unapenda kampende dada ako (aah dada ako)
Kaa kupenda, kampende baba ako (aah baba ako)
Si unapenda kampende kaka ako (aah kaka ako)

Mapenzi yataniua  (yatanikill)
Bora nitafute pesa nianze jishaua
(Niwe happy now)
Mi mahaba yataniua (yatani kill)
Bora nitafute pese nianze jishaua
Nikizipata ni
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitu tu
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi

Gharama mapenzi gharama
Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
Gharama mapenzi gharama
Na nidonda sugu halitibiki ukishazama
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe

Watch Video

About Yataniua

Album : Khan (EP)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Oct 28 , 2022

More MBOSSO Lyrics

MBOSSO
MBOSSO
MBOSSO
MBOSSO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl