Nadekezwa Lyrics
Nadekezwa Lyrics by MBOSSO
Hohohoo hohoo hoho … Hohohoo hohoo hoho
[Verse 1]
Salamu ulizo nitumia ah
Zimenifikia ah
Nipo salama hata usijali
Nalishwa vitamu
Vinono najilia
Biliyani yangamia
Penzi twa dalikana poo kidali
Nimekusahau
Nakumbuka tuu lako jina
Kidogo angaluu
Umengoa mizizi sio kukatashina
Penzi wakapanda dau ah
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina
Nando uwezo wangu ulipo ishia
Ningekupa nini tena
Kula yangu yakupapasia
(hukumweza ukaatema)
Mimi sina gali
Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
(hukumweza ukaatema)
Eeeheeehee
[CHORUS]
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… Nadeke…
[Verse 2]
Yanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
Hadi na come come kuminambili arufajiri
Na nishamvesha nyota cheochake kikubwa cha mapenzi
Kanijaza kanichota kanishika pabayaa
Nakutadharisha simu zausiku punguza
Unahatarisha penzi langu moto kuunguza
Nishakusahau nakumbuka tuu lako jina
Kidogo angaluu
Umengoa mizizi sio kukatashina
Penzi wakapanda dau anh
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina
Nando uwezo wangu ulipo ishia
Ningekupa nini tena
Kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema}
Mimi sina gali
Ningekupa nini tena (ooohoohoo)
{hukumweza ukaatema}eeeheeehee
[CHORUS]
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… nadekezwa
Nadeke… Nadeke…
Watch Video
About Nadekezwa
More MBOSSO Lyrics
Comments ( 2 )
I like every word
Hey, your translation of Nadekezwa isn't very accurate. e.g The first line, Salamu ulzonituma, zimenifikia. nikosalama hata usijali ...................... 'The greatings you sent have been received, I am fine, don't worry'.......................... nimekusahau, nakumbuka tu lako jina, I have forgotten all but your name, kidogo angalau ungengoa mizizi soi kukata shina you should have you uprooted us not just cut at the stem
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl