My Life Lyrics
My Life Lyrics by MARIOO
Wanasemaga nabiii hakubaliki kwao (kwaoo)
Hata mi walikuwepo wakunipinga kitaani
Walisemaga wahenga eti Mtu kwaoo (kwaoo)
Wachache walikuwepo wakaniamini kitaani, aah
Toka home mpaka studio kwa mguu,viwalo vipya kutupia sikuuu
Nguo mbaya imepauka kuu kuu
Kula yangu anaijua aliye juu uuh uuh
Mmh yeeeh aah
Mungu hakunyimi vyote akikupa kilema atakupa na mwendo
Sawa sijasoma akanipa kipaji ntimize malengo
Never, never, never never give up
Never, never, never never give up
Never, never, never never give up
Never, never, never never give up
Ilikua kama movie
Ila tunaishi kwa love
Waliotukwamishaga tunaln kama changamoto
Leo imekua kama movie,ila tunaishi kwa raha
Tunamipila na kila zaga ujana maji ya moto
Asante sana kwa kunifanya super star
Leo najulikana kila kona ya mtaaa
Ahsante mama mwanao kipenzi cha watu
Napendwa sana kona zote za mtaa
Mungu hakunyimi vyote akikupa kilema atakupa na mwendo
sawa sijasoma akanipa kipaji ntimize malengo
Never, never, never never give up
Never, never, never never give up
Never, never, never never give up
Never, never, never never give up
Watch Video
About My Life
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl