Mwenye Majibu Lyrics by MADAM FLORA


Mfumu hawezi kukusaidia
Rafiki hawezi kukusaidia
Nduguyo hawezi kukusaidia
Mpenzi hawezi kukusaidia

Umeshindwa hilo hilo
Kwa mwanadamu hilo hilo
Ulilete hilo hilo
Kwa Bwana Yesu hilo hilo

Amesema anatenda umwamini
Hajawahi acha neno lipotee
Alisema atatenda nimeona
Hajawahi shindwa kitu mfalme

Ndio yake moja, inabadili maisha
Ndio yake moja, huleta amani
Akisema sawa, utaheshimishwa aah
Muitee tu, muitee tu, muitee tu

(Yelelelele)

Yupo mwenye majibu, asiyelala
Yeye asiyelala
Ndio kwake ni ndio
Hakuna, hakuna

Yu mwenye majibu
Yeye asiyelala
Ndio kwake ni ndio
Hakuna, hakuna

Kiti cha enzi, kiti cha sifa
Nyenyekea utapata majibu
Kiti cha karne, zamani zote
Amini amini, kuna jibu

Oooh ameketi, kwenye enzi
Hakuna jambo gumu tena
Kama afya na uzima
Lolote amini amini

Anajua maumivu
Anaona na machozi
Yeye ni Baba, yeye mlezi
Daima daima

Ndio yake moja, inabadili maisha
Ndio yake moja, huleta amani
Akisema sawa, utaheshimishwa aah
Muitee tu, muitee tu, muitee tu

(Yelelelele)

Yupo mwenye majibu, asiyelala
Yeye asiyelala
Ndio kwake ni ndio
Hakuna, hakuna

Yu mwenye majibu
Yeye asiyelala
Ndio kwake ni ndio
Hakuna, hakuna

Yupo mwenye majibu, asiyelala
Yeye asiyelala
Ndio kwake ni ndio
Hakuna, hakuna

Yu mwenye majibu
Yeye asiyelala
Ndio kwake ni ndio
Hakuna, hakuna

Aiyaayayaya...
Aiyaayayaya...
Aiyaayayaya...
Yelelele

Tunakuandamia, tegemea
Egemea Bwana
Mbavuni mwako ni salama
Tena jemedari wa majeshi

Wa ushindi hushindwi wowote
Tutashinda kwa heshima tena
Maana yupo

Yupo mwenye majibu, asiyelala
Yeye asiyelala
Ndio kwake ni ndio
Hakuna, hakuna

(Asante)

Watch Video

About Mwenye Majibu

Album : Mwenye Majibu (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 13 , 2020

More MADAM FLORA Lyrics

Comments ( 1 )

.
drNick 2020-04-19 03:44:23

De song its very wonder it makes me strong✌️✨About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl