Mwenye Nyumba Lyrics
Mwenye Nyumba Lyrics by MABANTU
Samahani mwenye nyumba
Hela yako nitakulipa
Nimempeleka mama yangu hospitali anaumwa
"Wewe usifananishe kodi yangu na vitu vya kijinga
Kati ya nyumba yako na mama yako kipi muhimu?
Jagul, Jagul Nataka kodi yangu
Ehh bwana ey ey ey, nataka kodi yangu
Ng'ombe hamnijui eeh"
Eeh bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi
Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba
Omba hii haki ya Mungu kufichwa kweli kazi
Kusema kweli mi ananikata
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Au kuna boya kaniotea
Maana kila nachofanya napotea
Nitakulipa mwezi ujao!
Mbona nadata mshahara umeisha
Na sijaupokea (Mwenye nyumba!)
Jana kweli mmeposti
Vile vinoti vingi kwa pochi
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Walahi siongopi, vile vinoti
Vya bwana bosi (Mwenye nyumba!)
Hivi mwenye nyumba ananipenda eeh
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Au unanipenda?
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Eti unanipenda?
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Mwenzako nakupenda (Mwenye nyumba!)
Eeh bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi
Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba
Omba hii haki ya Mungu kufichwa kweli kazi
Kusema kweli mi ananikata
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Eeh bana nauza feni, nauza jiko
Mwenzenu nimeishiwa kodi ya (Mwenye nyumba!)
Nauza godoro pia na subwofer
Nataka nikalipe kodi ya (Mwenye nyumba!)
Kodi yako inaisha lini?
Yangu kesho kutwa
Yako inaisha lini boshe
Kesho kutwa!
Kodi yako inaisha lini?
Yangu mwezi ujao
We yako inaisha lini jirani?
Mwezi ujao
Hivi mwenye nyumba hujanipenda
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Mwenzako nakupenda
(Nitakulipa mwezi ujao!)
We hujanipenda?
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Mi nakupenda
(Mwenye nyumba)
Eeh bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi
Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba
Omba hii haki ya Mungu kufichwa kweli kazi
Kusema kweli mi ananikata
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Eeh bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi
Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba
Omba hii haki ya Mungu kufichwa kweli kazi
Kusema kweli mi ananikata
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Watch Video
About Mwenye Nyumba
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl