Jishongondoe Lyrics
Jishongondoe Lyrics by MABANTU
Aya dada jishongondo, ujishongondoe
Ujishongondo, ujishongondoe
[VERSE 1]
Shombe shombe kama nancy
Hayo macho rhoda
Vikofi kama monkey
Uki danky, kule border
(Aaah my beiby)
Mtoto ivo nyama laini ndo napendaga shake (shake)
Na kisu ninacho mwilini naji serve ia stea k(steak)
Akavipapaso nipe ninyonye kama tomato
Napenda vidimple napenda macho
Nipende wanga adi wasemeko
Akavipapaso nipe ninyonye kama tomato
Napenda vidimple napenda macho
Nipende wanga adi wasemeko
[CHORUS]
Aya dada jishongondo, we jishongondoe
We jishongondo, we jishongondoe
Aya dada jishongondo, we jishongondoe
We jishongondo, we jishongondoe
[VERSE 2]
Si ninapenda cartoon kama rangi
Akipenda samaki mi ndo chambi
Nikufichie siri kama jamvi
Kwa kabedi kubwa kubwa kama tangi
Nyumba rambo imetiwa maji
Na shepu ndo Nicki Minaji (ndo nicki minaji)
Araji araji ukikata napanda midadi (rrrah)
Mwanamke kujishaua (sunaaa)
Macho kuyarembua (sunaaa)
Kujishaua shaua (sunaaa)
Kujitanua tanua (suna)
Mwanamke kujishaua (sunaaa)
Macho kuyarembua (sunaaa)
Kujishaua shaua (sunaaa)
Kujitanua tanua (suna)
[CHORUS]
Aya dada jishongondo, we jishongondoe
We jishongondo, we jishongondoe
Aya dada jishongondo, we jishongondoe
We jishongondo, we jishongondoe
Watch Video
About Jishongondoe
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl