Mapepe Lyrics
Mapepe Lyrics by LYYN
Kanilenga maanate kipago
Kipago kipago
Na mopa ya kuku mitago
Mitago mitago
Za analog, digitali chabo
Chabo, chabo
Akishikwa head nampa panadol
Panadol, nadol
Shuga daddy kwa baa
Kiboko ya mimi
Nihonge mtaji mbaba
Lamboghini
Ana mapepe huyo
Katulia na mimi, wala hafurukuti
Ana mapepe huyo
Ye shetani mi jini, hayawani mamluki
Ana mapepe huyo
Si tumegandana Ndio maana(kilwa nzenza)
Niite Zena eeh, kamwite kibonge(kilwa nzenza)
Niite Zena eeh, kamwite kibonge(kilwa nzenza)
Niite Zena eeh, kamwite kibonge(kilwa nzenza)
Niite Zena eeh, kamwite kibonge
Mzigo kaufunga shia, kaupiga loke
Kashiba kanisusia, kanipa wote
Ye ni kama samaki anarumagia, kote kote
Penzi nzito linanielemea, aniokote
Kafunga mkandaa
Ndizi kamenya magandaa
Kama pipi kailambaa
Alaj alaj alambaa
Kama maji mtungi, kalowa
Kama kuku ana madoa
Iwe juu hatachi, napopoa
Ye ni kipini katoboa
Ananiua
Ana mapepe huyo
Katulia na mimi, wala hafurukuti
Ana mapepe huyo
Ye shetani mi jini, hayawani mamluki
Ana mapepe huyo
Si tumegandana Ndio maana(kilwa nzenza)
Niite Zena eeh, kamwite kibonge(kilwa nzenza)
Niite Zena eeh, kamwite kibonge(kilwa nzenza)
Niite Zena eeh, kamwite kibonge(kilwa nzenza)
Niite Zena eeh, kamwite kibonge
Ana mapepe huyo, mapepe
Ana mapepe huyo, mapepe
Ana mapepe huyo, mapepe
Ana mapepe huyo, mapepe
Watch Video
About Mapepe
More LYYN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl