
Amenishindwa Lyrics
...
Amenishindwa Lyrics by Lony Bway
Nguo nilishavua, nikashindwa kuoga ah
Kuna vimambo Fulani hivi vilinipa uwoga
Mimi mtu mzima
Mbona unaniwekea soda
Ama hujataka nichangamke ebu nichangamshe nilewe niongee
Nina mengi ya kusema ooh ya kusema
Mi nina mengi ya kuongea aah
Acha ma-ma ma-ma ma-ma ma-ma
Nalia huku nacheka maana nimetoka salama
Aya aya a ma-ma ma-ma-ma-ma-ma
Ni kweli alinitesa ila nimetoka salama amenishindwa
Mbwa yule angeniua, mbwa yule amenishindwa, mbwa yule angeniua
Amenishindwa
Amenishindwa
Kiranga kiranga kumo
Nilifika kikomo
Siwezi tena mapenzi yamenishinda yaliyomo
Zikinizidi nitazitoa hata kwa mkono, mkono aah mkono
Abo mchawi bukutu ama mchawi wesewe
Hakunaga nauli usiteseke
Acha ma-ma ma-ma ma-ma ma-ma
Nalia huku nacheka maana nimetoka salama
Aya aya a ma-ma ma-ma-ma-ma-ma ma-ma
Ni kweli alinitesa ila nimetoka salama amenishindwa
Mbwa yule angeniua mbwa yule amenishindwa mbwa yule angeniua
Amenishindwa
Watch Video
About Amenishindwa
More Lony Bway Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl