
Nimeshafika ft Mikasi Lyrics
Nimeshafika ft Mikasi Lyrics by LETEIPA THE KING
O lalala
Oooh nanana mwambie mama
Vampk mwambie mama
Vampk mwambie mama dih mikasi top, na vampk
Aaah, mwambie mama nimeshafika
Mhhh tena mi nimefika salama
Oooh mwambie mama nimeshafika
Eeeeeh Tena mi nimefika salama,
Hilo Jiji la Loitokitok ntalikosa
Sana yeye anajua ilivyonichoma mama
Nyumbani dhiki, ikanibidi niende mbali ntawakosa
Mimi naenda kutafuta Mali
Acha niende mimi nanikija ujidai mama
Acha niende mimi nikirudi tufurahi
Mama yangu ma ujidaii
Mama weeh ufurahi
Mama yangu ma ujidai eh
Mama yangu we ufurahi
Aaah, mwambie mama nimeshafika
Mhhh tena mi nimefika salama
Oooh mwambie mama nimeshafika
Eeeeeh Tena mi nimefika salama
Mwambie dada, elimu msingi dunia inakaba
Kama mapenzi mama, walipendaga wengi mwisho wakamwagwa
Basi na asome na bidii, nampendaga
Basi dada asome na bidii nampendaga
Nanivema siku ya Leo umewakumbuka
Ndugu zako na marafiki huku Nyumbani
Baba yako aliposikia alifyatuka
Dada yako na yeye haonekani Nyumbani
Mpenzi wako vaileti wafilisti wanamvizia
Wamempa spaghetti siku hizi anaturingia
Mama yako ameketi barazani akifikira
Heri angezaa Gazeti blanketi ama sufuria
Lakini kuja Nyumbani we tunakungoja (Ruuuudiii)
Hata kama wamekung'oa jicho Moja (Ruuuudi)
Yeyeyeiyeeeeh
Aaah, mwambie mama nimeshafika
Mhhh tena mi nimefika salama
Oooh mwambie mama nimeshafika
Eeeeh Tena mi nimefika salama
Aaah, mwambie mama nimeshafika
Mhhh tena mi nimefika salama
Oooh mwambie mama nimeshafika
Eeeeeh Tena mi nimefika salama
Watch Video
About Nimeshafika ft Mikasi
More LETEIPA THE KING Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl