Sakata Lyrics
Sakata Lyrics by KUSAH
Kamata
Shika chini kapakatee
Ikizingua weka chini tema mate
Aya Samata
Kabumbu lisakate
Aya kiti
Kapandisha maruhani
Aya kiti
Anataka chumba cha uwani
Athumani naye kasimama dede
Ana midadi anataka akubebe
Ulivyotuna na ulivyojaza debee
Udenda wamtoka yaani kawa bwege
Aya kamata
Shika chini kapakatee
Ikizingua weka chini tema mate
Aya Samata
Kabumbu lisakate
Kama kachafu
Kasafishe katakate
Aya kamata
Shika chini kapakatee
Ikizingua weka chini tema mate
Aya Samata
Kabumbu lisakate
Kama kachafu
Kasafishe katakate
Ayaa sakata, sakata sakata beiby
Waonyeshe ulivyofundwa eeeh
Sakata, sakata sakata
Ayaa waonyeshe
Rhumba sakata, nishadata eeeh
Sakata, nishadata eeeh
Sakata, nishadata eeeh
Sakata, sakata, sakata
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata, sakata
Yaani yellow, yellow
Subai, masai, pandisha mori
Ndani kero kero, msuva katupia goli
Leo mpaka kokorikoo
Mi mwenyewe pompolipoo
Mama katoka na mwiko
Mwali kakimbia jiko
Nanesa ninayumba yumba
Moyo unadunda dunda
Yaani ninayumba yumba
Moyo unadunda dunda
Aya kamata
Shika chini kapakatee
Ikizingua weka chini tema mate
Aya Samata
Kabumbu lisakate
Kama kachafu
Kasafishe katakate
Ayaa sakata, sakata sakata beiby
Waonyeshe ulivyofundwa eeeh
Sakata, sakata sakata
Ayaa waonyeshe
Rhumba sakata, nishadata eeeh
Sakata, nishadata eeeh
Sakata, nishadata eeeh
Sakata, sakata, sakata
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata eeeh
Sakata, sakata, sakata
Nanesa ninayumba yumba
Moyo unadunda dunda
Yaani ninayumba yumba
Moyo unadunda dunda
Watch Video
About Sakata
More KUSAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl