Niko Sorted Lyrics by KOFFI MACHETTE


Form imebebana niko sorted (Niko sorted)
Drinks on me tuzichote
Manguna si wakuje wote wote (Wote wote)
Zikishika ni lazima tuzitoke

Form imebebana niko sorted (Niko sorted)
Drinks on me tuzichote
Manguna si wakuje wote wote (Wote wote)
Zikishika si lazima tuzitoke

So napull up na gang nimejipin na jeans
Nashikia tu kwa carpet design ya Aladin
Ka ni kuzima ni kwa loo, na maharufu za vim
Steam ongeza tu lean nianze tu kudim

Usinicall na reverse call jaribu kuredeem
Ka unasmell kitu fiti ni mi nameza sadim
Looku ni Dior niki pop Smoke
Na kuna marachet wakuja tu ku coke block

Food of thought wanadishi na two forks
Kando yangu si unajua huwezi kosa two thots
Assasin nasupply kina Delilah makasi
Nafasi siwapei ya kudanganya wafuasi

Na basi, mbona unatry kushindana nasi mikosi
Veve sikosi, gang kikosi
Room ni moshi, flow risasi
This is, this is 

Form imebebana niko sorted (Niko sorted)
Drinks on me tuzichote
Manguna si wakuje wote wote (Wote wote)
Zikishika ni lazima tuzitoke

Form imebebana niko sorted (Niko sorted)
Drinks on me tuzichote
Manguna si wakuje wote wote (Wote wote)
Zikishika si lazima tuzitoke

[Breeder LW]
Fathela eeh
Hizi cladi si za duka ni za choche
Mifuko zimefura ziko bloated
Trap house tuligeuzaga hostel
Ju hawa manguna ni mafresher kama wote

We ulishinda na hukutoka na kikombe
Hujai jua hata buffallo ni ng'ombe
Vile siku hizi si hudundaga na mabosses
Na tuko bash na tumemaliza token

Chapa gwil na usitapike kwa scene
Kabla mi nitoke nil labda uingie referee
Kuna joto niko ndethe nikibleki nitajifunika na sheet
Niko area za D kwa hivyo tenje si receive
We unanuka jasho si ukaoge
Naona buda uko na problem
Ni saa ngapi na usijibu ka hauna rolex
Uko lucky ka we unanionaga often 

Form imebebana niko sorted (Niko sorted)
Drinks on me tuzichote
Manguna si wakuje wote wote (Wote wote)
Zikishika ni lazima tuzitoke

Form imebebana niko sorted (Niko sorted)
Drinks on me tuzichote
Manguna si wakuje wote wote (Wote wote)
Zikishika si lazima tuzitoke

Watch Video


About Niko Sorted

Album : Niko Sorted (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 09 , 2020

More KOFFI MACHETTE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl