Rada! Lyrics
Rada! Lyrics by KARWIRWA LAURA
(Saint P with the beat)
I got flows
Hii ni mizizi ka una-bore tuna fast forward
Mziki ngumu bila doh saka cash flow
Ama unangoja wakupick kama raffle?
Kaza hustle!
Kaza hustle ,warazi watembe
Ulimi shoka bado na skill ya wembe
Injili imeoga itabaki niwapende
So kam na mboga hizi bars ni ka sembe
Wako chuma utadhani wame cross-breed na metal
I don't bite niko so keen na dental
Mitaani najua mbogi ma mental
Yesu ma kamagera, na mishogi wa metro
Kamtoa mwana wake pekee
Aje duniani ili atufie
Sababu ya damu yake
Mi na weh tuna uzima wa milele
Haijalishi noma piga sala
Mola atakupa namna
Atakuvusha salama
Ngori ataigeuza sawa
Rada ya Yesu ibambe, eeh, oooh, eehh
Na sifa zake zitambe, eeh, oohh, eehh
Rada ya Yesu ibambe, eeh, oooh, eehh
Na sifa zake zitambe, eeh, oohh, eehh
I know my Jehovah is good for real
Nothing can change my mind on Him
Yeye ananipenda trust me for free
Kila nakoenda He's my company
You're my strength You're my muscle
Shuleni nipo kidato
Devil anakula kichapo
Ulipo ni papo
Maisha yangu ni yako
You're my one and only
Time is money so nai-spend kwa misa
Hawana content, tushawa frighten kuandika
Hapa ni bars bila licence ya liquor
Umetu equip na hii si hisence na mika
No digity huu ndio mwito
Origi na huu ndio mpiko
Jiwe na Lau, we live in the mission eeh eeh
Na kaa ni negativity better keep off
Rraaaahh rrraaahhh raaahhh kwa Yesu we strong
Rada ya Yesu ibambe, eeh, oooh, eehh
Na sifa zake zitambe, eeh, oohh, eehh
Rada ya Yesu ibambe, eeh, oooh, eehh
Na sifa zake zitambe, eeh, oohh, eehh
Haijalishi noma piga sala
Mola atakupa namna
Atakuvusha salama
Ngori ataigeuza sawa
You're my strength You're my muscle
Shuleni nipo kidato
Devil anakula kichapo
Ulipo ni papo
Maisha yangu ni yako
You're my one and only
Rada ya Yesu ibambe, eeh, oooh, eehh
Na sifa zake zitambe, eeh, oohh, eehh
Rada ya Yesu ibambe, eeh, oooh, eehh
Na sifa zake zitambe, eeh, oohh, eehh
I got flows
Hii ni mizizi ka una-bore tuna fast forward
Mziki ngumu bila doh saka cash flow
Ama unangoja wakupick kama raffle?
Kaza hustle!
Watch Video
About Rada!
More KARWIRWA LAURA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl