Kesi Baadaye Lyrics
Kesi Baadaye Lyrics by KANAIRO
Aah yeah
Temwa after kutekwa ka kawa nikirudi sober
Ju hajatetema basi basi sivuti toja
Na akishiba kizazi, ataitisha maganji
Sidhani juu yaani kundule huchoma
Na makuku lazima manga
Alafu buda hizi kutu hazimwa mwaga
Mbogi bado ni ya maguzzler, mastone na maratchet
Na bibi material hapana taka aah
Cheki bye bye
Sitaki jo visanga na drama kwa life
Rada tu ni tei na magwai, alafu my guy
Wacha wasiwasi ya bill jo na buy
After ni macookie na keki kwa ndae
Meza na ukibleki jo kesi baadaye
After ni macookie na keki kwa ndae
Meza na ukibleki jo kesi baadaye
(Baadaye, baadaye, baadaye, baadaye)
Kam sleep over niko na shasha money
Alafu tumangane, beiby hadi ngware
Kam sleep over nina mizinga nane
Alafu usibleki juu leo kutu ni nare
Nikikucheki na tight, nanyonji
Leta pongi nicheze pikky ponkie
Ka ni formiko ya macombi jo
DK, Hopekid wako wapi jo
Meza meza, alco-blow tuwang'ade eeh
Cheza na mic mos mos usinyongwe eeh
Ju ni Tighter ka Taveta, moto ka pasi
Wet ka bahari ya Mombasani
Jump ina mi Benz pewa kitu kali
Alafu orwaro hazipatikani
Awoo, amejibeba ka ndae ya Ketepa
Na morning glory, asubuhi itawe-weza
Cheki bye bye
Sitaki jo visanga na drama kwa life
Rada tu ni tei na magwai, alafu my guy
Wacha wasiwasi ya bill jo na buy
After ni macookie na keki kwa ndae
Meza na ukibleki jo kesi baadaye
After ni macookie na keki kwa ndae
Meza na ukibleki jo kesi baadaye
(Baadaye, baadaye, baadaye, baadaye)
You guy, haki walahi niko high
Nafeel twende tao kwenye klabu tujinyc
Pigia kwanza bae, tupitie akina Sly
Na leo mi si drive, nani shika hiyo ndae
Drinx na Mayenx, nani washa hiyo ngwai
Macookie na makeki naona zinadai
Kulia na kushoto nacheki tu mathigh
Watoto wako freshi, waroro wako fine
Nimecheki hizi jegi nikashindwa kudeny
Figa namba nane cheki vile wanawhine
Wakichora namba saba mi nitacheza namba nine
(Nine, nyc, nine, nine)
Cheki bye bye
Sitaki jo visanga na drama kwa life
Rada tu ni tei na magwai, alafu my guy
Wacha wasiwasi ya bill jo na buy
After ni macookie na keki kwa ndae
Meza na ukibleki jo kesi baadaye
After ni macookie na keki kwa ndae
Meza na ukibleki jo kesi baadaye
(Baadaye, baadaye, baadaye, baadaye)
Cheki bye bye
Sitaki jo visanga na drama kwa life
Rada tu ni tei na magwai, alafu my guy
Wacha wasiwasi ya bill jo na buy
After ni macookie na keki kwa ndae
Meza na ukibleki jo kesi baadaye
After ni macookie na keki kwa ndae
Meza na ukibleki jo kesi baadaye
(Baadaye, baadaye, baadaye, baadaye)
Watch Video
About Kesi Baadaye
More KANAIRO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl