Overcomer Lyrics
Overcomer Lyrics by JUSTINA SYOKAU
Yesu overcomer, Yesu overcomer
Yesu overcomer, Yesu overcomer
Aliyesulubiwa, aliyesulubiwa
Ameshinda kifo, alishinda kifo
Yesu alitupenda kwa upendo mwingi sana
Yesu alitupenda kwa upendo wa ajabu
Akaacha mbingu akaja duniani
Kutuokoa kutokana nazo dhambi
Alivumilia mateso mengi sana
Mimi na wewe ili tuokolewe
Mauti sasa haina nguvu
Mauti kwetu haina nguvu
Yesu overcomer, Yesu overcomer
Yesu overcomer, Yesu overcomer
Aliyesulubiwa, aliyesulubiwa
Ameshinda kifo, ameshinda kifo
Kwa mapigo ya Yesu sisi tumepona
Kwa mapigo ya Yesu Corona itashindwa
Kwa mijeledi yake tumepata ukombozi
Calvary alisema yamekwisha
Mateso yako nasema yamekwisha
Magonjwa yako nasema yamekwisha
Damu ya Yesu nasema inene kwako
Yesu overcomer, Yesu overcomer
Yesu overcomer, Yesu overcomer
Aliyesulubiwa, aliyesulubiwa
Ameshinda kifo, ameshinda kifo
Siku ya tatu Yesu akafufuka
Maadui wakaaibika, saluti wakapiga kwake
Ishara mambo yetu yaliyokufa
Kwa jina la Yesu yatafufuka
Biashara zetu zitafufuka
Uchumi wa nchi utafufuka
Huduma zote zitafufuka
Sababu Yesu aliovercome
Na sisi tuta overcome
Yesu overcomer, Yesu overcomer
Yesu overcomer, Yesu overcomer
Aliyesulubiwa, aliyesulubiwa
Ameshinda kifo, ameshinda kifo
Ushindi ni wa nani? Ushindi ni wa Yesu
Nauliza ushindi ni wa nani? Ushindi ni wa Yesu
Ushindi si wa kusota, Ushindi ni wa Yesu
Ushindi si wa Corona, Ushindi ni wa Yesu
Ushindi si wa magonjwa, Ushindi ni wa Yesu
Ushindi si wa Mauti, Ushindi ni wa Yesu
Si wa shetani, Ushindi ni wa Yesu
Ushindi ushindi ushindi, Ushindi ni wa Yesu
Ushindi ushindi ushindi, Ushindi ni wa Yesu
Ushindi ushindi ushindi, Ushindi ni wa Yesu
Vigelegele we are celebrating
The resurrection of Jesus
Aiii wee, aiii wee
Hayuko kaburini amefufuka
Watch Video
About Overcomer
More JUSTINA SYOKAU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl