Utawala Lyrics by JULIANI


Niko njaa hata siezi karanga
Hoehae shaghala bhaghala
Niko tayari kulipa kulipa gharama
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi ubinafsi ukabila
Kuuza sura hawataki kuuza sera
Undugu ni kufaana
Sitasimama maovu yakitawala
Siatasimama maovu yakitawala
Hard kuget wadhifa una deserve
Bila cash ama kashfa
Hii society kenye wanaeza
Share ni nyungu ya busa
Ama kettle ya shisha
Mfuko zinasikia echo
Utajua thamani ya mali na size ya kifuli eeiyoo
Hujaibiwa juu hauna ka kitu worth
Risking jail time police bullets for
Unaeza argue
Crime doesn't pay
Lakini huezi dismiss justice ina bei
Mwizi ana forty days
365 days later
Anaendelea ku grow fatter
Do anything for power
Ready to lose their heads for presidency
Bora waione kwa currency
Sababu gani siko affected na turbulance
Nikifly angani
Nimezoea the same feeling
Matatu zikipitia pothole
Mtaaani Juliaani Yeah Yeeeaaahh
Niko njaa hata siezi karanga
Hoehae shaghala bhaghala
Niko tayari kulipa kulipa gharama
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi ubinafsi ukabila
Kuuza sura hawataki kuuza sera
Undugu ni kufaana
Sitasimama maovu yakitawala
Siatasimama maovu yakitawala
Ndio wa raise funds
Itabidi u raise hands
Growing concerns
Breakfast za croissant
Hatutaki upunguze bei ya bidhaa
Tunataka opportunities ndio tu afford hizo bidhaa
Walisema kutembea kwingi ndio kuona mengi
Nimeshinda nikitembea ma ofisi na sijawai ona kazi
Siezi cheza golf venye Tiger would
Mambo si bara bara Ching Wu
Naomba journey mercies
Chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani
Policeman anapiga rungu mwalimu
Daktari anamrushia teargas
Na mtoto wake anarudishwa nyumbani hana school fees analipwa peanuts
Niko njaa hata siezi karanga
Hoehae shaghala bhaghala
Niko tayari kulipa kulipa gharama
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi ubinafsi ukabila
Kuuza sura hawataki kuuza sera
Undugu ni kufaana
Sitasimama maovu yakitawala
Siatasimama maovu yakitawala
Sewer za state house na

Watch Video

About Utawala

Album : Utawala (Album)
Release Year : 2013
Added By : Trendy Sushi
Published : Mar 20 , 2020

More JULIANI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl