Wagithomo Lyrics
Wagithomo Lyrics by JOEFES
London, London
Na bado anagawa na bado pia hakujengi
Na bado anagawa na bado pia hakujengi
(It's your favourite boy)
(Kash Keed on the track)
Unaskia beat unatetema
Nina kutu hadi kwa booth mi hukula itina
Flex na ngeus jina yake Makena
Ako fine fine wine, shida mdomo mathena
Unaskia beat unatetema
Nina kutu hadi kwa booth mi hukula itina
Flex na ngeus jina yake Makena
Ako fine fine wine, shida mdomo mathena
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Ako zabe anashikisha na Thiong'o
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Kana bubble kanapendaga mdomo
[Joefes]
Buda boss kumbe ngeus ni wagithomo
Anadai D na venye hapendi masomo
Msomo naweza floss sipendi mdomo
Si formal itabidi niseti kikomo
Si normal chura kupatana na ong'ongo
Kwa ng'ango skinny nigga kupatana na momo
Na hormones zake zimepanda past kong'o
Leo ni manduru na sifa ni za Thiong'o
[Ssaru]
Ka ni ngeus wagithomo na natupa mdomo
Kanabonga chafu nakasafisha na omo
Kanalialia kanyamazishe na lolo
Unaeza kapatia ju kanawashwa na hormones
Ka ni bash anakujanga na kiondo
Nakatanga mabeer nyi mkikatanga mavodoo
Colour clush anavibe na Opondo
Anataka tu kasoup na samaki ya kamongo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Ako zabe anashikisha na Thiong'o
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Kana bubble kanapendaga mdomo
[Swat, Ethic Entertainment]
Kuomoka ni ka chupi, siwezi kuambia rangi
Na ukizua zogo bado utapanguzwa
Nacheza kiubazenga siwezi ka mhenga
Noma ni afande anataka ka sina
Hujui kurequest hadi rachu anakunyima
Ati uko na tattoo kumbe buda ni ufucha
Hujui kurequest hadi rachu anakunyima
Na bado anagawa na bado ye hakujengi
[Fathermoh]
Knock knock who is there, boys wagithomo
Gang gang niaje Swat si unipee hadi kong'o
Bombo mi ni ras na sipendi local
Fofo, nimechapa na ikalala fofo
Don't touch ka ni toja nimeipiga lombo
Nono hadai straight anataka kombo
Shoborise biz ngwafu chomoa dikoko
Jogoo siwezi mind shimo ka ni nono
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Ako zabe anashikisha na Thiong'o
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Kana bubble kanapendaga mdomo
[Exray, Boondocks Gang]
Manigga wamenyanya ki Japan Negasaki
Nigga, nigga fvckin'
Manjege wapige looku kesho wote wakuje kambi
Kurutu wana kutu mi nataka wapakwe rangi
Zima hio kitu ka imenuka imeoza
Akibonga shit mwambie aende akaoge
Kijana mpole smart, occupation pickpocket
Mangeus wameiva wanakaa imported
Naukitraciwa aupatikani
Na ukiulizwa uko hali gani
Na uko fiti uko rahani
Na kuna ule ako rahani
Ilikuwanga we na nani?
Tulia kwanza we na nani?
Ilikuwanga we na nani?
Tulia kwanza we na nani?
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Ako zabe anashikisha na Thiong'o
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Wagithomo ni ngeus wagithomo
Kumbe dem jo ni ngeus wagithomo
Kana bubble kanapendaga mdomo
Kikoro, usikuje ka hauna kikoro
Kikoro, usikuje ka hauna kikoro
Kikoro, usikuje ka hauna kikoro
Watch Video
About Wagithomo
More JOEFES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl