
Wangu Lyrics
Wangu Lyrics by JEYLATI TITAN
Ooh baby
Sitaki uwe mbali nami
Ooh baby
Usiniache mpweke maishani
Penzi lako
Lanipa faraja moyoni
Nipo kwako Kwa mwengine mi sioni
Penzi lako
Nitaweka salama moyoni
Nitatulia kwako
Kwa mwengine mi siendi
We ni wangu, wangu
We ni wangu, wangu
We ni wangu, wangu
We ni wangu, wangu
Maneno ya wachochezi
Siyaweke moyoni
Si unajua, nia yao Kututenganisha Tuachane
Wasikwambie Mi sifai
Wasikudanganye
We ni wangu Wangu
We ni wangu Wangu
We ni wangu, wangu
We ni wangu, wangu
We ni wangu, wangu
We ni wangu, wangu
Wangu, wangu
We ni wangu
Watch Video
About Wangu
More JEYLATI TITAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl