Kidonda Lyrics
Kidonda Lyrics by IDDI SINGER
Mmmh mmmh
Yale maumivu ya jana
Siwezi sahau bana
Nikikumbuka,inaniuma sana
Yale maumivu ya jana
Siwezi sahau bana
Nikikumbuka,inaniuma sana
kidonda nilichopata mwezenu
mnyonge mi niliugua
Nusura mimi niwe marehemu
Sana niliugua aaah
Penzi hujengwa na vingi
Moja tu kuwa moyoni
Kwake nilikuwa msingi
Kamimina maji udongoni
Penzi hujengwa na vingi
Moja tu kuwa moyoni
Kwake nilikuwa msingi
Kamimina maji udongonii...
aaah...aaah...
inaniuma sanaaaa...aaah...
kidonda(mmh) kidonda(mmh) kidonda(mmh)
kidonda nimeshapona
kidonda(mmh) kidonda(mmh) kidonda(mmh)
kidonda maumivu nimeshapona
Aaah aaah mama,
Ule uchungu
Nahisi ni kama misumari kwenye kifua aah
Aaah ni kama rungu
Kupigwa utosini alafu nikachomwe na jua
Aah nilimbembeleza sana
Na mapenzi nikajisahau
Nikajiona mjenzi,
Kumbe kando kuna washikadau
Aliye kuhani mimi
kwanini tunda ni mwingine
Nilo panda mbegu ni mimi
Leo hii anavuna mwingine
Eeeh yote uliyonitendea
Mola atanilipia
Mapenzi kwako yamepotea
Na kidonda kimepona
Kidonda(aaaah ah) kidonda(aaaah ah) kidonda(aaaah ah)
Kidonda nimeshapona
Kidonda(aaaah..) kidonda(aaaah ah) kidonda(aaaah ah)
Kidonda maumivu nimeshapona
Nishampata mimi, kwake nimeridhi aaah
Maumivu sina tena
Nishampata mimi, kwake nimeridhi
Maumivu sina
Kidonda(aaaah) kidonda(aaaah) kidonda(aaaah)
Kidonda changu mimi nimeshapona
Kidonda(aaaah..) kidonda(aaaah ah) kidonda(aaaah ah)
Kidonda nimeshapona
Watch Video
About Kidonda
More IDDI SINGER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl