Chuma ya Doshi Lyrics
Chuma ya Doshi Lyrics by IANO RANKING
Ati chuma chuma, chuma ni ya Doshi
Ah, chuma ya masoshi
Mmh chuma, refu mlingoti
Ndio maana aluta si hushikisha na njoti
Chuma, chuma ni ya Doshi
Ah, chuma ya masoshi
Mmh chuma, refu mlingoti
Ndio maana aluta si hushikisha na njoti
Niko kutu jo naskia nataka ngipo
Kangeus kako sawa itabidi nitoe tepo
Last week nilifuliza mirista
Kurigithigi mingi, kutegana jo kwa mita
Kusesana akanilamba kama dumba
Naskizia kwa thong si alipewa chuma
Dandifa nawashwa, Kapongi nitakakata
Natema jaba nakakamata
Mi hucheza na kina Martha
Nawapapasa ki bobo rasta
Ati chuma chuma, chuma ni ya Doshi
Ah, chuma ya masoshi
Mmh chuma, refu mlingoti
Ndio maana aluta si hushikisha na njoti
Chuma, chuma ni ya Doshi
Ah, chuma ya masoshi
Mmh chuma, refu mlingoti
Ndio maana aluta si hushikisha na njoti
Chuma venye ngumu unaeza dhani chuma ni doshi
Ka ngoko ni vajo hio pongi hainitoshi
Ni ka venye njumu unaezadunga na haikutoshi
Ye hupenda hiyo rungu venye ka biggy ka mlingoti
Morio nakashika hadi asemange afande ni mnaughty
Ruka ruka juu ya deki nikirusha manoti
Piga nduru ka ni tamu nikimwaga manjoti
Mi si pedi ni mashada nimeweka kwa koti
Katoto kuwaka unaweza dhani kwanza ni solar
Aki nitakachapa hadi azunguke kama ni roller
Nginyo ndo anapenda sa ye hushinda kama ameniholla
Mi huchapa vifiti ball hushtukia kama ni gola
Ati chuma chuma, chuma ni ya Doshi
Ah, chuma ya masoshi
Mmh chuma, refu mlingoti
Ndio maana aluta si hushikisha na njoti
Chuma, chuma ni ya Doshi
Ah, chuma ya masoshi
Mmh chuma, refu mlingoti
Ndio maana aluta si hushikisha na njoti
Mi mgeni ghetto na nakaa jo wa kibombe
Akipita area zako hapana gwaya mgotee
Msupa akijipa dalili za machoche
Piga naye ghetto raundi jo mafisi warombe
Walikam, najua mmefika jo party start
Nawahan, kabeza kifisi that's the plan
Kuna time jo mi hufeel naeza chizi kama siko high
Kikiwaka mauwidhi kiende kushoto na isikae
Si ujipe nikuteke mbele ya mavese
Na ushike hiki kimjulubeng simete
Labda nikuwe kadere na we nganya nikuendeshe
Ikuwange ni stingo zote na kukata mi ndio wembe
Ati chuma chuma, chuma ni ya Doshi
Ah, chuma ya masoshi
Mmh chuma, refu mlingoti
Ndio maana aluta si hushikisha na njoti
Chuma, chuma ni ya Doshi
Ah, chuma ya masoshi
Mmh chuma, refu mlingoti
Ndio maana aluta si hushikisha na njoti
Watch Video
About Chuma ya Doshi
More IANO RANKING Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl