Kenya Sihami Lyrics by HITMAN KAHT


Wale wa West, wale wa West
Wako wet drip
Wale wa East kwa mabeast
Betika bet slip

Ujanja ya memes ni bundles
IG hatuwezi wahandle
Masponyo na mpango wa kando
Wanacompete na maninja Eastlando

Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)

Nganya ngori ni Kanambo
Leo nafire shots ka Rambo
Baba yao Agwambo
Tangu za kale tangu kitambo

Kenya sihami, ey ey
Kenya sihami, yeah ey
Kenya sihami, ey ey
Kenya sihami, yeah

[Mastar VK]
Kenya sihami si ndo hujenge nyumba kwa lami
Usiniite Mukami ju sina mang'ombe nami sikami
Unaona kitambi pole lakini ju mi naona ni tummy
Nipate nyumbani nadishi mangoko hadi juu ya sahani

Hukati makali hushikishi makali na buda hunyanyi
We Kenya uhame ju huna wasupa na buda huhanyi
Kazi ni kazi kipaji ni kazi epuka madwanzi
Uza hadi banzi ata kama ni mwitu kachonge viazi
Usiringe ati wewe ni manzi ushinde umepiga mapicha kejani
Hujui hata kupika jameni huwezi ongeza hata maziwa majani

Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)

Nganya ngori ni Kanambo
Leo nafire shots ka Rambo
Baba yao Agwambo
Tangu za kale tangu kitambo

[Scar Mkadinali]
Kenya si kwangu, Kenya si kwako
Lakini bado sihami
Kenya ni ya Rao, Uhunye na Ruto
Wasitubebe madwanzi

Street imebeba vituko inabaki mi nibebe bangi
Napatia msupa kiboko kama ni pesa kasake mlami
Kama una stress we kam tuive
Bado niko ghetto choo ziko nje
Nikiwa mtaani roho iko easy
But wanajua mi ni rong huko nje

Must walipe wacha leo ras aringe
Vijana wanataka marithe mabang'a wanataka watuuzie
Bora dishi na nichome kikolo mi nitashinda nimezoza
Mi naona wakenya wakishikana mikono tunaeza kaiba pamoja

Tripple XL ndio jacket kwa goro
Ndo niwasundie mabidhaa
Sikuwa nao uwongo
Nilikuwa solo nikichomea poacher

Wale wa West, wale wa West
Wako wet drip
Wale wa East kwa mabeast
Betika bet slip

Ujanja ya memes ni bundles
IG hatuwezi wahandle
Masponyo na mpango wa kando
Wanacompete na maninja Eastlando

Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)
Kenya sihami (Harambee)

Nganya ngori ni Kanambo
Leo nafire shots ka Rambo
Baba yao Agwambo
Tangu za kale tangu kitambo

Kenya sihami, tibim
Kenya sihami, tibim
Kenya sihami, tibim
Kenya sihami, ah tibim

Watch Video

About Kenya Sihami

Album : Kenya Sihami (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Bridge Records.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 22 , 2020

More HITMAN KAHT Lyrics

HITMAN KAHT
HITMAN KAHT

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl