Sherehe Lyrics
...
Sherehe Lyrics by HARMONIZE
Konde boy call me number one
Bakhresaa
(S2Kizzy, baby)
Oh, ah-uh, ah
Ukiwa mvivu
Ni rahisi sana kuwa na wivu
Tuliojituma tuka-archive
Usitushangae tukila mbivu
Uliwaza mapenzi tukawaza pesa
Mmh, ona yanavyokutesa
Sie kwetu ni sherehe
Oya leo sherehe
We don't really mind hata tukikesha
Liwake hata ikinyesha
Leo siku ya sherehe
Oya leo sherehe
Wanangu huku (kuna sherehe)
Huku (tuna sherehe)
Huku (oh, ni sherehe)
Leo huku (kuna sherehe)
Huku (tuna sherehe)
Huku (huku ni sherehe)
(Oh, na-na-na-na, na-na, na-na-na-na-na-na-na-na
Na-na, na-na, na-na-na-na-na-na)
Mmh
kuhonga kubaya ukiwa huna
Ila tuliojipata kwetu suna
We jigambe unamkuna
Huku walio na meno wanatafuna (Bomboclaat)
Mwenye kisu kikali kala nyama leo
Kidali kaachwa na jimama leo
Kwetu kuna sherehe
Oya leo sherehe, oh
Mpaka kesho tumeanza leo
Wasiotoka wametoka leo
Wameifuata sherehe
Oya kwetu kuna sherehe
Uliwaza mapenzi tukawaza pesa
Mmh, ona yanavyokutesa
Sie kwetu sherehe
Oya leo sherehe
We don't really mind hata tukikesha
Liwake hata ikinyesha
Leo siku ya sherehe
Oya leo sherehe
Wanangu huku (kuna sherehe)
Huku (tuna sherehe)
Huku (huku ni sherehe)
Leo huku (kuna sherehe)
Huku (tuna sherehe)
Huku (huku ni sherehe)
(Oh, na-na-na-na, na-na, na-na-na-na-na-na-na-na
Na-na, na-na, na-na-na-na-na-na, na-na)
The Mix Killer
Watch Video
About Sherehe
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl