Band Rehearsal Lyrics
Band Rehearsal Lyrics by HARMONIZE
Ana kasura ka upole
Miaka nenda rudi hazeeki
Tena ni mtu wa gym gym
Shepu ndo linanipa wazim zim
Na tattoo ni mchore
Ndo hivyo tena hapendeki
Kweli mapenzi hayana mwalimu
Wengine hata kuniona mia
Hivi niseme ana ngekewa
Ama nyota yake kali amenizidi
Ama mjini nimechelewa
Ona wengine wanamponda wanamuita bibi
Tulianza kumuona mapema
Enzi za mabanda ya cinema
Alikuwaga akila mziki na Wema
She is so cute
Hata wanione mshamba tu
Maji huwezi hapigia honi
Umri nao ni namba tu
Kinachoniuma anajifanya haoni
Kama unamjua, mtaje
Wewe unamjua, mtaje
Hivi ni kweli unamjua, mtaje
Napenda kesho anizimie
Hivi nani anayemjua, mtaje
Ramata unamjua, mtaje
Kera unamjua, mtaje
Baba nachange nikamwambie
Licha ya maumivu maumivu
Ila sijawai give up
Mwenzenu nina wivu nina wivu
Machozi hayaishi kuwaza
Licha ya maumivu maumivu
Ila sijawai give up
Mwenzenu nina wivu nina wivu
Machozi hayaishi kuwaza
Nani anayemjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Napenda kesho anizimie
Kama unamjua, mtaje
Nani anayemjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Ndo maana nachange nenda umwambie
Watch Video
About Band Rehearsal
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl