
Hapo Lyrics
...
Hapo Lyrics by G NAKO
Rrrrrrrr
Ahaa, Troni basi tulikunje
Zuchu chu chu chu
Eti mkombozi, wa iPhone chaka chaka
Ndani sitoki, jinsi ulivyo nikamata
Hiyo minoti, kwako naimwaga haraka
Ushantoa loki (kweli)
Baby unachotaka nataka
Haiya Laila baila (baila baila)
Baila baila (baila baila)
Baila baila (baila baila)
Oh baby nataka unisogelee (baby)
Nicheze kwa nyuma unibembelee (baby)
Na kama una pepo nilikemee (baby)
Likome kabisa litokomee
Hapo mmmh hapo mmmh Hapo mmh
Hapo penyewe hapo
Hapo mmmh hapo mmmh
Hapo mmmh hapo penyewe hapo
Mwaga buu Mwaga buu Mwaga buu
Mwaga buu Mwaga buu Mwaga buu
Piga moronyo nikupige moronyo
Piga moronyo nikupige moronyo
Piga moronyo nikupige moronyo
Piga moronyo (eyaah)
Stop
Tulia mwenzako nishakula pweza
Ooh utaumia aah
Nikikupa utaweza utalii
Sawa, macho yake alambe lawa lawa
Aya umenifungia mbaka kiwaya mwaya
We hunichezesha hata kiwaya waya mbaya
Kama leo ndio inakua mbaya
Nakupa mambo baby nakupa mambo
Nakupa mambo baby, nakupa mambo
Kaiya Laila baila (baila baila)
Baila baila (baila baila)
Baila baila (baila baila)
Ooh baby nataka unisogelee (baby)
Nicheze kwa nyuma unibembelee (baby)
Na kama una pepo nilikemee (baby)
Likome kabisa litokomee
Hapo mmmh hapo mmmh
Hapo penyewe hapo
Hapo (unaponigusaga)
Hapo (unaponishikaga)
Hapo (unanipatiaga)
Hapo penyewe hapo
Mwaga buu mwaga buu mwaga buu mwaga buu
Mwaga buu mwaga buu mwaga buu mwaga buu
Piga moronyo nikupige moronyo
Piga moronyo nikupige moronyo
Piga moronyo nikupige moronyo
Piga moronyo (eyaah)
Watch Video
About Hapo
More G NAKO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl