
Paroles de Songa
Paroles de Songa Par SIZE 8 REBORN
Aah, aah aah
(Jacky B)
Nipe miaka hamso nitakuwa bazu
Rada chafu umenikwachu
When I saw you I felt you
Kila wakati, kila nyakati utakuwa mbavu
Uniongeza maringo, unaniongeza maringo
Uniongeza maringo, unaniongeza maringo
Lakini kijana unajua, ni nani unapigia
Hii si namba ya Mathare, kijana unapigia
Yesu wangu tumekuona kwa mapigo eeh
Yesu wangu tumekuona kwa mapigo eeh
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
God bless you umenipa photocopy
My number one girl wajua sikuchochi
Asante kwa maombi na machozi
Liwe liwalo baby sikutoki
Saa zingine nakupeanga mapressure
Lakini bado unanishow unanitreasure
Yaani God umenipea mpaka pastor
Kwangu mapepo zinajua ni disaster
Yesu wangu tumekuona kwa mapigo eeh
Yesu wangu tumekuona kwa mapigo eeh
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Ni ukweli tumeona, Mkono wa Bwana
Ni ukweli tumeona, Mkono wa Bwana
Ni ukweli tumeona, Mkono wa Bwana
Ni ukweli tumeona, Mkono wa Bwana
Yesu wangu tumekuona kwa mapigo eeh
Yesu wangu tumekuona kwa mapigo eeh
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Bado tunasonga songa songa
Penzi linanoga noga noga
Ecouter
A Propos de "Songa"
Plus de Lyrics de SIZE 8 REBORN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl